Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

Tabasam kajisahau.
Malipo ni hapa hapa wewe subiri usiwe na harak tulia
 
Yani wewe ni kichwa maji
 
Nini maana ya kumchongea, kwamba aliyosema sio kweli ? Kwamba ulitaka awe bubu ilhali uozo upo ?
 
Huo mstari wa mwisho ndio nimeuelewa!
 
Nini maana ya kumchongea, kwamba aliyosema sio kweli ? Kwamba ulitaka awe bubu ilhali uozo upo ?
Tofautisha kati ya Kumchongea na Kumsingizia!

Wakati mwingine tumia kamusi.
 
Shetani huwa hana rafiki wa kudumu, hawa walipendelea kwa lazima siyo kwa hiari.
 
Kilichofanywa na wakurugenzi kupitia uchaguzi mkuu kuibeba ccm wakishirikiana na watendaji kata ni majanga.yako maeneo kura za wapinzani zilipaswa kuharibiwa na wasimamizi makusudi
 
Huamini kama kuna wabunge Wa CCM waloshinda kwa nguvu zao kihalali?
 
Uchaguzi wa wabunge si wa taifa ni wa jimbo husika tu. Wakurugenzi hawana mamlaka ya kumtangaza mshindi kama tume haimtaki.
 
Uchaguzi mkuu 2025 ni vita Kati ya CCM na DEDs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…