Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

sisi wengine ni akina tomaso, tuwekee kapicha basi.

usije ukasema simu hazikuruhusiwa maana ushasema wengine walikuwa wanarekodiana.
mzee kuna picha zingine sio njema kuziweka hapa
 
Mimi ndiye sijabishana.

Nimeelimisha umma kwamba Uswizi imepiga marufuku mikutano ya kijamii kuanzia Jumatatu iliyopita

Wewe unayenijibu ndiye ushabishana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
sawa
 
Mkuu nawe ulizubaa sana

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…