Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huku Canada mambo shwari aiseee hatujifukizi na watu wanaenda club kama kawaidaa sio geneva tu hata Canada pia [emoji40][emoji6]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole! Hiyo inaitwa "cultural shock". Nadhani kila jamii ya watu kuna hicho kitu (kitu ambacho watu wa utamaduni mwingine wataona siyo sawa au si jambo la kawaida). Kila jamii ya watu ina mambo ambayo jamii nyingine inaona si sawa au si jambo la kawaida.
 

Mkuu, soma Uzi wote kwanza kabla ya kukoment. Ushaokotwa!

Huyo jamaa ni full chai bila andazi.

-Kaveli-
 
Mkuu, soma Uzi wote kwanza kabla ya kukoment. Ushaokotwa!

Huyo jamaa ni full chai bila andazi.

-Kaveli-
Poa. Nimekupata. Lakini mimi nimechangia hasa ile sehemu aliyosema "siamini kama wazungu wako sawasawa". Maana yake, hata watu wa tamaduni nyingine wakija huku kwetu na baadaye ukiwasikia wakisimlia wanasema "kuna mambo si sawa sawa." Sasa hayo mengine ya kuwa kuwa "full chai bila andazi" ni juu yake.
 
Huu uzi nimechekaaa sanaa jamani nyie watu vibokoo Phoenix


Sent using Jamii Forums mobile app

'Mswizi hewa' katumbuliwa bila ganzi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Parabora kanyolewa para na wakuda kwa style ya sakayonsa. Yaani kama ni kuku, amenyonyolewa kwa ushirikiano ulotukuka!

Yule mjuba maisha yake yote lazima atahifadhi kichwani mwake kumbukizi la kudumu kuhusu unoko wa wanajumuiya wa Jamiiforum.

Arudi sasa Facebook akaendelee kucheza cha-ndimu, sio hapa jf.

Jamiiforum ni korido la wajuaji. Ukijamba, wao wanakunya mubashara!

-Kaveli-
 
Hahahaa mkuu umenikumbusha harakati za mkulima Ontario kuwaokota watu humu na mboyoyo zake za 'kudownload money'.

-Kaveli-
Yule mjomba alikodi trekta kwa Siku 30 na akapata faida ya Tsh.30mil,hapo ndipo nikajua kweli kilimo cha watsap hua kipo.
 
Club zenu huko Canada hua mnapimwa HIV kabla ya kuingia kama wanavyofanya huku kwetu Geneva?

Wanakupima kila kitu hadi magonjwa ya zinaa,corona na ukitoka wanakupima tenaa sema pichahazoruhusiwi simu huwa tunaacha kwa mlinzi.
 
wanakupima kila kitu hadi magonjwa ya zinaa,corona na ukitoka wanakupima tenaa sema pichahazoruhusiwi simu huwa tunaacha kwa mlinzi

Dada Dina, naomba mwaliko nami nije kula paja tamu za totoz nyeupe. Nitashusha bonge la sredi kumrusha roho Para.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

-Kaveli-
 
Aaaah! weee acha hizo Mkuu! utachezaje Muziki mguu kati umesimama? hapo umebeba mizigo mitatu;

Mkuyenge una kauzito fulani hivi

Mawazo ya genye! na ulegevu! papuchi za kulingishia zinalegeza sana mwili!

Step na style ya mziki

unaweza cheza kitofauti kabisa ukibeba haya matatu! wewe sasa ndo utakuwa burudani kwa watazamaji!
 
But za kiafrica zinasisimua zaidi huko swaziland reed dance, na Kingdom of lesotho, wa south wazuriii!
 
Ndio maana majanga hayaishi dunia hii. Wakati wengine tuko bize kupoza hasira ya Mungu kwa sala na ibada, wengine wako bize kuwasha hasira ya Mungu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…