Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
- Thread starter
-
- #21
Naamin hapa tunakumbushana mema na makubwa ya Mkapa kiuchumi naamini kuanzia Nyerere Mwinyi hata Kikwete hawajaacha alama KUBWA Kama Mkapa aliyoacha.Kama ulivyokuwa hujui mazuri ya BWM, hivyohivyo hujui mazuri ya JK. Ukiambiwa utasema wooow!, Kumbe naye alifanya makubwa pia
JK naye ana makubwa mengi kaifanyia nchi hii, nayo yakisemwa ni mengi tu, labda wewe huna taarifa
Lakini leo ni siku ya BWM hatuna haja ya kuongelea marais wengine
hivi kama leo hii ikitokea huyu wa sasa atwaliwe (Mungu apishie mbali though), jee ni kitu gani hasa cha maana (landmark) atakumbukwa kwacho?
kumbuka hivi hapa chini ni vya JK:
- Kigamboni (Nyerere) bridge
- JNIA terminal 3
- flyovers (TAZARA, Ubungo & Kurasini)
- DART
- TZ kuingia uchumi wa kati (JK kachangia $480B, Mkapa $330B, JPM $100B)
- tarmac road network mikoani & wilayani
- UDOM
- Medical infrastructure (Mloganzila, JKCI)
Nafkir JPM kaanzia alipoishia Mkapa Ila aisee Mkapa ndo kama alianzisha NCHI upya hongera kwa Mkapa ngoja tuone ya JPM na atakae mfata
Naamin hapa tunakumbushana mema na makubwa ya Mkapa kiuchumi naamini kuanzia Nyerere Mwinyi hata Kikwete hawajaacha alama KUBWA Kama Mkapa aliyoacha
Ni kweli kila mtu anamema yake kwa nyakati zake ila kwangu mie naona Mkapa amefiti kwa nyakati kabla ya muda wake pia kwenye muda wake na hata baada yake hasa kiuchumi kwa wengine sioni Magufuli hatuwezi kumpima kwenye mizani hii mpaka amalize yake kumi.Subiri kikwete nae akitangulia mbele za haki (God forbid) utakuja kuanzisha uzi mnono km huu. Maana hapa naona unasema ya kikwete huyajui.
Utayajua tu akiaga dunia kama ambavyo leo hii ndio umeyajua ya Mkapa baada ya kuaga dunia. Sijui nimetumia lugha nyepesi hapa au?
Magufuli ndo anaua uchumi,fikiri vizuri utapata majibuKikwete miaka kumi yake ndio uchumi wote ulipoharibika hata wakati wa mkpa foreign reserve ilikua kubwa mkapa alifuta madeni karibia yote ,jk alikopa hata cha maana hakufanya akamaliza pesa zote, ufisadi dili zikawa nyingi, kikwete ndio iliua uchumi wa nchi
Hata mie hili naliona Kikwete alisafiri nje Sana lakini alituacha tumechoka vibaya mno kichumiKikwete miaka kumi yake ndio uchumi wote ulipoharibika hata wakati wa mkpa foreign reserve ilikua kubwa mkapa alifuta madeni karibia yote ,jk alikopa hata cha maana hakufanya akamaliza pesa zote, ufisadi dili zikawa nyingi, kikwete ndio iliua uchumi wa nchi
Nafkir JPM kaanzia alipoishia Mkapa Ila aisee Mkapa ndo kama alianzisha NCHI upya hongera kwa Mkapa ngoja tuone ya JPM na atakae mfata
Magufuli anajisifu yeye tu huku akionesha watangulizi wake hawajawahi fanya chochoteWatu wabaya sana HAWAKUSEMA AKIWA HAI ILA NIFURAHI SANA TUTAKUTANA KWENYE UWANJA SASA TUMESHAJU
Namaanisha kuanzisha Jambo lake binafsi la kukuza uchumi nasio muendelezo angalia mashirika mengi ya serikali yalifia kwa Kikwete alafu njoo mchukue Mkapa alafu muweke kwenye mizani hyo hyo ilimpimia Kikwete alafu lete majibumleta mada unauliza kikwete alifanya nini kwani hukuwa unaziona barabara alizojenga ? acha chuki na huyo mzee,hata magufuli huwa anamsifu sana kwa barabara na madaraja
Awamu hii tuliyonayo sasa hivi, kwa miaka mitano tuu shughuli tumeiona kuhusu uchumi.Kikwete miaka kumi yake ndio uchumi wote ulipoharibika hata wakati wa mkpa foreign reserve ilikua kubwa mkapa alifuta madeni karibia yote ,jk alikopa hata cha maana hakufanya akamaliza pesa zote, ufisadi dili zikawa nyingi, Kikwete ndio iliua uchumi wa nchi
Hata ujenzi wa barabara ni jambo lake binafsi la kukuza uchumi, ungesema toka mwanzo sasa kama unataka aanzishe mashirika, lakini hiyo haiwezekani kila Rais akija aanzishe mashirika yatakuwa mengi sasa na yakose maana.Namaanisha kuanzisha Jambo lake binafsi la kukuza uchumi nasio muendelezo angalia mashirika mengi ya serikali yalifia kwa Kikwete alafu njoo mchukue Mkapa alafu muweke kwenye mizani hyo hyo ilimpimia Kikwete alafu lete majibu
Watakwambia SGR, STEGOLAZ, TANZANITE BRIJI, VIWANDA, UCHUMI WA KATI TUMEFIKA MAPEMA, NIDHAMU KAZINI.hivi kama leo hii ikitokea huyu wa sasa atwaliwe (Mungu apishie mbali though), jee ni kitu gani hasa cha maana (landmark) atakumbukwa kwacho?
kumbuka hivi hapa chini ni vya JK:
- Kigamboni (Nyerere) bridge
- JNIA terminal 3
- flyovers (TAZARA, Ubungo & Kurasini)
- DART
- TZ kuingia uchumi wa kati (JK kachangia $480B, Mkapa $330B, JPM $100B)
- tarmac road network mikoani & wilayani
- UDOM
- Medical infrastructure (Mloganzila, JKCI)
Nyerere bridge, Malagarasi bridge, mabibo hostel, makazi ya JWTZ nchi nzima.Unajua UDOM, Mwendokasi Dar, Shule za Kata, Hospitali ya Mloganzila, Daraja la Malagarasi, Daraja la Kigamboni, Umeme Kinyerezi 2, Hospitali ya Benjamin william Mkapa iliyojengwa chuo kikuu cha UDOM, Mtandao wa barabara nchi nzima, Jakaya Kikwete Health Institute, uwanja wa Ndege terminal 3, Mradi wa Gesi Mtwara hadi Dar, Mradi wa Maji Ruvu Juu hadi Dar kupitia Bunju, Vivuko kedekede, Ukarabati viwanja vya ndege, Kuongeza udahili wanafunzi wa vyuo vikuu, Daraja la Kilombero, Ajira za kumwaga, Demokrasia pana na mengine mengi tu
Hapo unaona JK hakufanya kitu?
Vitu kama hivo ndio vilifanya Tz ichelewe kuendelea,mimi ninapenda sana kutazama picha,video za miaka ya zamani,ukitazama maisha walioishi wazaire,waganda,wakenya na wasouth alafu tazama picha za watanzania utaona watanzania wengi waliishi maisha ya dhiki hata hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000, lakini videos na picha za wacongo wa kawaida kabisa za miaka ya 70 utaona walivovaa mavazi mazuri na kuishi nyumba nzuri. Haya mambo ya kina Diamond kubadili magari kila siku waliyafanya kina JB mpiana miaka ya 90 huko.Akuna kitu kilikua kina tesa watanzania kama kodi ya kichwa na kodi ya baiskeli Nakumbuka ilikua watu wanajificha mapolini kukimbia kodi ya kichwa
Ukimpima Magufuli kwenye mizani sawa ambayo tumempimia Nyerere Mwinyi Mkapa na Kikwete itakuwa sio sawa tusubiri Magufuli amalize yake kumi ndo tuje tumpime pia kuna kipindi inabidi ufanye Jambo kulingana na nyakati husika sa hii one man show huenda inamsaidia sana kuliko ile ya kuacha system ifanye kila kitu kipindi cha Kikwete labda ndo mana JK alichelewa kufika kabla hajafika but BWM ni Bora mno kwa aliyoyafanya.Mkuu magufuli anafanya propoganda tu hana lolote,Mkapa aliamini katika mifumo,huyu magu anaamini katika one man show,kikwete alijenga barabara nyingi na kuacha mifumo ifanye kazi zake, huyu magufuli yeye Kila kitu anataka afanye yeye