Siku njema huonekana asubuhi mkuu.kama mtu anatekeleza budget zake kwa wastani wa asilimia 40 kwa mwaka Kuna nini hapoUkimpima Magufuli kwenye mizani sawa ambayo tumempimia Nyerere Mwinyi Mkapa na Kikwete itakuwa sio sawa tusubiri Magufuli amalize yake kumi ndo tuje tumpime pia kuna kipindi inabidi ufanye Jambo kulingana na nyakati husika sa hii one man show huenda inamsaidia sana kuliko ile ya kuacha system ifanye kila kitu kipindi cha Kikwete labda ndo mana JK alichelewa kufika kabla hajafika but BWM ni Bora mno kwa aliyoyafanya.
Wewe unajulikana una hasira na chuki kali sana kwa Magu, sasa hapa unamlinganishaje Magufuli aliekaa miaka 5 na hao waliokaa miaka 10?Mkuu magufuli anafanya propoganda tu hana lolote,Mkapa aliamini katika mifumo,huyu magu anaamini katika one man show,kikwete alijenga barabara nyingi na kuacha mifumo ifanye kazi zake,huyu magufuli yeye Kila kitu anataka afanye yeye
Nime survive awamu zote tatu, Mkapa, Kikwete na Magu ninajua naongea nini.Magufuli ndo anaua uchumi,fikiri vizuri utapata majibu
Mwaka huu mpigie kura Lisu au Membe.Magufuli ndo anaua uchumi,fikiri vizuri utapata majibu
SGR - bado kazi mbichiWatakwambia SGR,STEGOLAZ,TANZANITE BRIJI,VIWANDA,UCHUMI WA KATI TUMEFIKA MAPEMA,NIDHAMU KAZINI.
Kwa Hali alioicha Mwinyi kila MTU anaona NCHI haikuwa salama kichumi lakini kwa waliokuwepo kipindi hicho waliona Mwinyi kawavusha kulingana na Hali waliyokuwanayo kabla yake lakini Ukija ukapima utaona Mwinyi alikuwa anatengeneza shimo la kufukia watanzania wake na Mkapa kaja kuwaokoa na kuanza kulifukia lile shimo Ila ajabu nyingine makosa yaleyale yakarudi Tena kwa Kikwete sasa huyu wasasa tusubiri yake kumi yaishe aachie ofisi tukakague ofisi tujue katuachaje?Nilikuja kuanzisha uzi kama huu. Mara nakuta umeuweka hapa tayari! Mungu wetu ni mkubwa na mwema. Leo ukweli umejulikana. Watoto wa siku hizi waliaminishwa na walamba viatu (ikiwemo TBC) kuwa kila kitu kimefanyika awamu ya 5! Uongo mtupu. Marais wengine wana mchango wao pia. Tuache sifa za uongo jamani. Tuombe kura bila ya kupanda kwenye mabega ya wengine. Siyo ustaarabu kabisa.
Lakini ukisikiliza tofauti ya indicators za uchumi kabla na baada ya 1995 utajiuliza Mzee Mwinyi alikuwa analipeleka wapi taifa. Na hata hivyo kuna watu walitaka aongezewe vipindi vya kutawala. Bahati nzuri Nyerere alikuwa hai akawatalia.
Wewe unajulikana una hasira na chuki kali sana kwa Magu, sasa hapa unamlinganishaje Magufuli aliekaa miaka 5 na hao waliokaa miaka 10?
Kwanini usisubiri Magu nae amalize 10 kisha ndio ufanye ukinganisho?
Wakati mwingine uanweza kuwa uanamchukia mtu mpaka ukaonekana mjinga sana.
Kwa Hali alioicha Mwinyi kila MTU anaona NCHI haikuwa salama kichumi lakini kwa waliokuwepo kipindi hicho waliona Mwinyi kawavusha kulingana na Hali waliyokuwanayo kabla yake lakini Ukija ukapima utaona Mwinyi alikuwa anatengeneza shimo la kufukia watanzania wake na Mkapa kaja kuwaokoa na kuanza kulifukia lile shimo Ila ajabu nyingine makosa yaleyale yakarudi Tena kwa Kikwete sasa huyu wasasa tusubiri yake kumi yaishe aachie ofisi tukakague ofisi tujue katuachaje?
Mkuu magufuli anafanya propoganda tu hana lolote,Mkapa aliamini katika mifumo,huyu magu anaamini katika one man show,kikwete alijenga barabara nyingi na kuacha mifumo ifanye kazi zake,huyu magufuli yeye Kila kitu anataka afanye yeye
Kwa Hali alioicha Mwinyi kila MTU anaona NCHI haikuwa salama kichumi lakini kwa waliokuwepo kipindi hicho waliona Mwinyi kawavusha kulingana na Hali waliyokuwanayo kabla yake lakini Ukija ukapima utaona Mwinyi alikuwa anatengeneza shimo la kufukia watanzania wake na Mkapa kaja kuwaokoa na kuanza kulifukia lile shimo Ila ajabu nyingine makosa yaleyale yakarudi Tena kwa Kikwete sasa huyu wasasa tusubiri yake kumi yaishe aachie ofisi tukakague ofisi tujue katuachaje?
Mkuu nioneshe hayo mazuri ambayo Mimi nimeshindwa kuyaonausimchukie mtu kiasi cha kutoona mazuri yoyote anayofanya utaitwa mchawi bure.
Wakati wa Myinyi, mfumuko wa bei ulilazimisha kuletwa kwa noti za 5000. kama hiyo haikutosha, zikaletwa za 10,000 ili watu wasitembee na magunia ya noti!
Huyu hata akimaliza miaka 30 hakuna Cha maana anachoweza kufanya,vitu hufanywa kwa mipango na si maguvu,Wewe unajulikana una hasira na chuki kali sana kwa Magu, sasa hapa unamlinganishaje Magufuli aliekaa miaka 5 na hao waliokaa miaka 10?
Kwanini usisubiri Magu nae amalize 10 kisha ndio ufanye ukinganisho?
Wakati mwingine uanweza kuwa uanamchukia mtu mpaka ukaonekana mjinga sana.
Noti ya 5000 na 10000 ni kipindi cha BWM
Ndiyo mara ya kwanza rais aliyeko madarakani alikataa kuweka picha yake kwenye fedha
Kwangu Mimi mwinyi was my best presidentLabda mnaona aibu kumsema Mwalimu, lakini uchumi wa nchi hii ulikuwa umekufa kabisa mwaka 1985
Hivi wewe una habari kuwa mwaka 1985 Mwinyi alichukua nchi uchumi ukiwa unakua kwa NEGATIVE rate (Ulikuwa ukikua kwa -3).
Hujui kuwa Mwinyi Kachukua hii nchi wakati tukifuata Uchumi wa Kijamaa ambao ulishafeli duniani, na Mwinyi kwa ujasiri akaamua kufanya reforms kwa kuanzisha soko huria!
Hujui kuwa TRA ilianzishwa kisheria na Mwinyi mwaka 1995 kabla ya mkapa kufanya Staffing mwaka 1996
Hujui ni Mwinyi ndiye aliyerudisha vyama vingi?
Hujui Barabara kwa mfano ya Dar Arusha ilijengwa kwa lami kipindi cha Mwinyi?
Ukiwa huna maono unaweza kumlaumu Mwinyi, lakini wakati Mwinyi anachukua nchi hii ilikuwa ni almost failed state, watu ni masikini choka mbaya!
Mkuu nioneshe hayo mazuri ambayo Mimi nimeshindwa kuyaona