Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kabisa. Kaanzisha vitu vingi vipya kwenye nchiAsikudanganye mtu, Mkapa ndiye Engine mpya ya uchumi wa sasa tunayoiona leo hii!
Mapungufu ya Mkapa ni ya kibinadamu sana kiuongozi, Lakini yule mwanaume ameifanyia nchi makubwa sana!
Kiufupi alikuja at the right time at the right moment!
Asikudanganye mtu, Mkapa ndiye Engine mpya ya uchumi wa sasa tunayoiona leo hii!
Mapungufu ya Mkapa ni ya kibinadamu sana kiuongozi, Lakini yule mwanaume ameifanyia nchi makubwa sana!
Kiufupi alikuja at the right time at the right moment!
Ndio unakutana na watu hopeless kama akina Jenerali Ulimwengu wanaongea mbovu mbovu tu
Mkapa is a legend
Umeshindwa kumuelewa mleta mada sababu ya kuhemkwa tu... soma tena utaelewaNgoja wapiga mafisadi watakavyokushukia tena hawatotoka kokote zaidi ya Ufipa!
Ulimwengu yule mzee alitumika vibaya na warubuni wa Taifa la TANZANIA Sasa anakula kule alipopeleka mboga saiz anamsongo yule mzee ukimgusa bahati mbaya anakulipukia makusudi HAYA NDO MATUNDA YA KUTUMIKA muda ukipata unakuwa uselessNdio unakutana na watu hopeless kama akina Jenerali Ulimwengu wanaongea mbovu mbovu tu
Mkapa is a legend
Watu wa hivyo ni wapuuzi wakawaida tu.
Ajabu ni kuwa JPM amewakashifu sana hadharani kwamba hao waliomtangulia walishindwa nini kufanya hayo aliyofanya!Kila mtu alifanya kwa nafasi yake.
Jisomee: Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10
Flyovers, Ndege, Stieglers, SGR😆😆Embu kwanza Hivi JPM amefanya nini katika pindi chake hiki cha miaka 5.
aldeo,
Hivi kama leo hii ikitokea huyu wa sasa atwaliwe (Mungu apishie mbali though), jee ni kitu gani hasa cha maana (landmark) atakumbukwa kwacho?
Kumbuka hivi hapa chini ni vya JK:
- Kigamboni (Nyerere) bridge
- JNIA terminal 3
- flyovers (TAZARA, Ubungo & Kurasini)
- DART
- TZ kuingia uchumi wa kati (JK kachangia $480B, Mkapa $330B, JPM $100B)
- tarmac road network mikoani & wilayani
- UDOM
- Medical infrastructure (Mloganzila, JKCI)
Na ndio ukweli wenyewe.Kwa taarifa yao, siku Kikwete akiondoka, watakaokuwepo watasikia kuwa fly-over ni mpango wa Kikwete na wala siyo Magufuli.
Hivi uliona wakati Magu anahutubia, kikwete na mwinyi wakawa wanazungumza baadae mwinyi akabenyua mdomo km kuzodoa, na JK akacheka. Pia pale alipokuwa anatoa chozi had shein na samia wakatazaman na kucheka.Kwa Mara ya Kwanza tatu magu awe prezida Leo ndo nimetumia muda wangu kumsikiliza,nilimuonea aibu wakati akitaja Mambo makubwa yaliyoasisiwa na mkapa? Ila kachemka alivyotaja eti mkapa ndo kamuibua JK yaani ameshindwa kujua kabisa kuwa wakati mkapa ni mbunge kikwete alikuwa ni presidential appointee na hakuwa mwalimu Kama yeye