Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

Mtu anasema Kikwete hajafanya kitu halafu ukute ofisini kwake anatumia Internet ya speed kubwa, hajui kuwa MKONGO WA TAIFA ulitandazwa nchini kipindi cha Kikwete

Na ukute anatumia huduma za serikali mitandaoni badala ya kupeleka midocument, kumbe e-Government ilianzishwa na Kikwete

Kiufupi pamoja na juhudi za maraisi, lakini mambo mengine ni zao la wakati, kwa mfano usingemtaka Mwinyi au Nyerere walete Internet wakati zama zao ilikuwa haipo duniani au ilikuwepo kwa kiwango kidogo sana
 
Huyu wa sasa hivi ni kukosoa kazi za wenzie tu.Eti nji ilioza!
 
Yani akina mramba walikuwa wanapiga lakini hazina ilikuwa imejaa
Mkapa kama ccm wengine alikuwa na roho ya ukatili wa madaraka lakini kwenye reforms za uchumi bwana yule nilimkubali.
 
Mkapa alileta maendeleo ya watu ndio msingi wa maendeleo, aliweka vipaumbele kuboresha maisha ya watu.
Maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana kwenye nchi hata kupelekea nchi kufilisika kabisa.
 
Ile kampuni ya umeme toka sauzi mbona hawajaitaja kwamba yeye ndiyo aliileta?
NetGroup.
 
Asikudanganye mtu, Mkapa ndiye Engine mpya ya uchumi wa sasa tunayoiona leo hii!

Mapungufu ya Mkapa ni ya kibinadamu sana kiuongozi, Lakini yule mwanaume ameifanyia nchi makubwa sana!

Kiufupi alikuja at the right time at the right moment!

Ndio unakutana na watu hopeless kama akina Jenerali Ulimwengu wanaongea mbovu mbovu tu

Mkapa is a legend
 
Tutajua mambo aliyofanya kula mmoja Sikh tukienda pale taifa kumuaga, sijui atafuata nani wasanii waandae nyimbo mapema
 
Ndio unakutana na watu hopeless kama akina Jenerali Ulimwengu wanaongea mbovu mbovu tu

Mkapa is a legend
Ulimwengu yule mzee alitumika vibaya na warubuni wa Taifa la TANZANIA Sasa anakula kule alipopeleka mboga saiz anamsongo yule mzee ukimgusa bahati mbaya anakulipukia makusudi HAYA NDO MATUNDA YA KUTUMIKA muda ukipata unakuwa useless
 
Mataga watakuambia usijifanye huoni ununuzi wa ndege,SGR sijui na flyovers[emoji1787] ndio main point zao
 
Embu kwanza Hivi JPM amefanya nini katika pindi chake hiki cha miaka 5.
 
aldeo,

Hivi kama leo hii ikitokea huyu wa sasa atwaliwe (Mungu apishie mbali though), jee ni kitu gani hasa cha maana (landmark) atakumbukwa kwacho?

Kumbuka hivi hapa chini ni vya JK:

- Kigamboni (Nyerere) bridge
- JNIA terminal 3
- flyovers (TAZARA, Ubungo & Kurasini)
- DART
- TZ kuingia uchumi wa kati (JK kachangia $480B, Mkapa $330B, JPM $100B)
- tarmac road network mikoani & wilayani
- UDOM
- Medical infrastructure (Mloganzila, JKCI)

Achievement ya JPM ni kununua ndege as of now , vingine vyote ni JK
 
Kwa Mara ya Kwanza tatu magu awe prezida Leo ndo nimetumia muda wangu kumsikiliza,nilimuonea aibu wakati akitaja Mambo makubwa yaliyoasisiwa na mkapa? Ila kachemka alivyotaja eti mkapa ndo kamuibua JK yaani ameshindwa kujua kabisa kuwa wakati mkapa ni mbunge kikwete alikuwa ni presidential appointee na hakuwa mwalimu Kama yeye
Hivi uliona wakati Magu anahutubia, kikwete na mwinyi wakawa wanazungumza baadae mwinyi akabenyua mdomo km kuzodoa, na JK akacheka. Pia pale alipokuwa anatoa chozi had shein na samia wakatazaman na kucheka.
 
Back
Top Bottom