Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mtu anasema Kikwete hajafanya kitu halafu ukute ofisini kwake anatumia Internet ya speed kubwa, hajui kuwa MKONGO WA TAIFA ulitandazwa nchini kipindi cha Kikwete
Na ukute anatumia huduma za serikali mitandaoni badala ya kupeleka midocument, kumbe e-Government ilianzishwa na Kikwete
Kiufupi pamoja na juhudi za maraisi, lakini mambo mengine ni zao la wakati, kwa mfano usingemtaka Mwinyi au Nyerere walete Internet wakati zama zao ilikuwa haipo duniani au ilikuwepo kwa kiwango kidogo sana