Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Ndio maana wazungu wameweka VAR.
Unadhani kama mpira una kasi si unaweza kuwanyima watu goli kwa hisia tu kuwa ilikuwa offside kumbe lah

Sasa kama ni offside kweli ni bahati ya aliyepata goli.

Kumaliza ubishi iletwe VAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira wa kazi wapi wakati kibendera alikuwa mstari mmoja kabisa na Boko,labda kama Ana macho mabovu
 
Yanga bwana wanalalamikaaaa weeee na nyinyi si mfunge hayo magoli ya offside ....ngedele nyie mnatuchosha ..kila siku tukishinda tumebebwa .[emoji2959]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ww ni kenge mshangiliaji tu ,mtu mwenye akili kweli hawezi kuwa ww pimbi ww , offside ya wazi kabsa tunajadili namna Simba inavyobebwa ww unaleta story za kimaku
Yanga bwana wanalalamikaaaa weeee na nyinyi si mfunge hayo magoli ya offside ....ngedele nyie mnatuchosha ..kila siku tukishinda tumebebwa .[emoji2959]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…