Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Waamu wanafanya makosa ya kibinadamu Simba ikicheza tu,hongereni Mikia kwa bahati hiyoKwakweli hadi inaboa sio kwa mbeleko hizi aiseee kweli mpira wa bongo utachelewa sana kuendelea ndo mana marefa wa tanzania hawachezeshi michuano mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app