Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Jaribu kujifunza kubalance mzani.
Mechi ya mwisho ya yanga goli lao lilikuwa offside mliongea au kuhoji?..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tunazungumzia Simba vs Polisi Tanzania na sio Yanga Wala mzani ,,,kumbuka mpira haupimwi kwa mizani. Kwa ww unaona Goli hama ni offside. Mana ukizungumzia habari ya usimba na Uyanga Mimi ni Shabiki wa Simba jiulize huyu kocha wetu mpya tokea amefika mbona tuna pata magori ya ndondokela Sana kipindi yupo uchebe hatujawah kuwa na masuala ya kuulizana mambo ya Offside
 
Tofauti hapo Ni nini?

Hao mabeki wanafanya nini
Screenshot_20200205-045723.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Duniani Hakuna Mashabiki vichwa Maji Kama mashabiki wa Yanga hizi lawama zilishawahi kutolewa kipindi cha nyuma na Simba lakini wao walikuwa wanaleta kejeli na kushangilia Haji Manara alipowaita waandishi wa habari akiwa na Runinga kuonyesha makosa ya waamuzi wetu mashabiki wa Yanga walimkebehi na kumdhihaki leo kibao kimegeuka wamesahau kila kitu kila siku wao ni Malalamiko na vilio kwa TFF juu ya waamuzi. Sasa huu ni mwanzo tu Mbeleko zaidi Zinakuja kama inawauma hamisheni timu yenu mkashiriki ligi ya msumbiji sababu hii Mbeleko itaendelea mpaka 2030.
 
Kwa kweli Simba walicheza chini ya Kiwango,zile siyo Beki kabisa sijui Santos ,Shamte, Juma,

Kosa kubwa ilikuwa kumfukuza Aussems ligi ikiwa bado inaendelea ma timu ilikuwa inapiga Mpira mzuri tu,
Sasa mnawapa Vyura msemo town sijui kubebwa ni kweli lile bao la kusawazisha lilikuwa offside ,mapungufu ya refa nayo yanachangia klabu yetu kubezwa.
Kuna Wachezaji hawana kiwango cha kuchezea Simba mwisho wa msimu wapeni vyao waondoke.
 
Ilichukua dakika ngapi bocco kupewa pasi?
Unaona kabisa bocco anatoka nyuma na mabeki wanamtegea kumkaba ili iwe offside unataka refa afanye nini?
Sheria ya offside unaijui? Laiti kama bocco angepewa pasi kwa wakati huo uliyoweka wewe screen shot kusingekuwa na offside. Lakini ule mpira akapewa mchezaji mwingine kisha Bocco akapewa pasi akiwa kwenye offside position. Mbali na kuwa shabiki, sheria na kanuni za mpira uzijue pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom