Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Hawa marefa wanatuharibia mpira... Offside kama ya leo sio ya visingizio.
Ujinga kama huu ulikuwepo mechi ya juzi ya Yanga na Mtibwa.. yaani nafasi ambayo sio offside ndio wanapuliza kipenga.. Upuuzi tupu.
TFF na Bodi ya Ligi acheni kutuvurugia mpira.. MAREFA WA HOVYO SANA.

Mimi Simba Sc mpaka nakufa.. ILA UKWELI USEMWE
Cc. Penison
 
Hapa Duniani Hakuna Mashabiki vichwa Maji Kama mashabiki wa Yanga hizi lawama zilishawahi kutolewa kipindi cha nyuma na Simba lakini wao walikuwa wanaleta kejeli na kushangilia Haji Manara alipowaita waandishi wa habari akiwa na Runinga kuonyesha makosa ya waamuzi wetu mashabiki wa Yanga walimkebehi na kumdhihaki leo kibao kimegeuka wamesahau kila kitu kila siku wao ni Malalamiko na vilio kwa TFF juu ya waamuzi. Sasa huu ni mwanzo tu Mbeleko zaidi Zinakuja kama inawauma hamisheni timu yenu mkashiriki ligi ya msumbiji sababu hii Mbeleko itaendelea mpaka 2030.
Tutabeba ubingwa huku Yanga wakibaki na mechi tatu mkononi, ambazo hata wakishinda wanabaki nafasi ya tano, [emoji23]

Waendelee kuwa na viporo,

Msimu uliopita tuliambiwa tunaandaliwa ubingwa kwa kuwa na mechi za viporo[emoji23]

Leo viporo wanavyo wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilichukua dakika ngapi bocco kupewa pasi?
Unaona kabisa bocco anatoka nyuma na mabeki wanamtegea kumkaba ili iwe offside unataka refa afanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingelikuwa hivyo basi kusingekuwa na sheria ya offside. Kwasababu offside maanake mchezaji yupo peke yake (amezidi mbele) wakati mpira wa assist unapigwa kwake (hakuna aliyemkaba). Sasa kama lazima mchezaji wa timu pinzani akabwe je kwanini kuwe na sheria ya offside?

Umesoma user name ya uliyemquote?
 
Boko hakuwa peke yake angalia vizuri.alikuwa na mabeki 3 wa polisi .

Kwa hali hii tushakata tamaa mtani. Peweni tu kombe lenu mulihifadhi.
Msikate tamaaa

Hahaha pambaneni hata kwa kuandika barua fifa

Nakumbuka kipindi kile sisi mpaka barua FIFA za ubingwa wenu Wa mezani tulikuwa tunazifikisha.

Ila mnyama mkali Jamal malinzi ulikuwa anazipangua tu.

Mi sioni simba ikibebwa sema referee wetu hawana ubora. Angalia penat hata azam aliyopewa zidi ya lipuli ilikuwa nyepesi sana. Kwaiyo ni tatizo la mfumo tu nalo liona
 
Boko hakuwa peke yake angalia vizuri.alikuwa na mabeki 3 wa polisi .

Sent using Jamii Forums mobile app
sheria inaangalia position ya mchezaji alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist.
IMG_20200205_092437.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom