Mwamuzi akivurunda kwenye mechi ya Simba adhabu yake ni onyo tu! Hii ndio Simba ya Mudi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka yanga pembeni toa jibu hapo kwa uelewa wako goli la kwanza ni offside au sio
Tarehe ikifika watapewa.Kwakweli hadi inaboa sio kwa mbeleko hizi aiseee kweli mpira wa bongo utachelewa sana kuendelea ndo mana marefa wa tanzania hawachezeshi michuano mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa yanga hawasemi ukweli ndo shida kwa simba likitokea kabebwa ila wengine wanakausha na simba akinyimwa goli ambalo sio offside makosa hayaonekani yanayoonekana ni yale yanayoonesha feva kwa simba, kama tunakemea makosa tukemee tuweke usimba na yanga pembene sema refa amefanya makosa na sio kabeba timuHawa marefa wanatuharibia mpira... Offside kama ya leo sio ya visingizio.
Ujinga kama huu ulikuwepo mechi ya juzi ya Yanga na Mtibwa.. yaani nafasi ambayo sio offside ndio wanapuliza kipenga.. Upuuzi tupu.
TFF na Bodi ya Ligi acheni kutuvurugia mpira.. MAREFA WA HOVYO SANA.
Mimi Simba Sc mpaka nakufa.. ILA UKWELI USEMWE
Kwa uelewa wako wa soka lile goli ni offside au sio offsideHuwez weka yanga pembeni maana ndo inafanya kwa wengine marefa wako sawa ila makosa kama haya yakijitokeza kwa simba basi kabebwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waamuzi wetu wanashida sehemu haiwezekani makosa yaleyale kila siku,Mechi mmebebwa,Yanga (Penalty na Mchimbi hakuwa offiside),Mwadui ,Namungo na leo polisi.Mnasajili kwa hela kubwa,mnalipa mishahara mikubwa lkn bado mechi mnanunua.
Watu wa yanga hawasemi ukweli ndo shida kwa simba likitokea kabebwa ila wengine wanakausha na simba akinyimwa goli ambalo sio offside makosa hayaonekani yanayoonekana ni yale yanayoonesha feva kwa simba, kama tunakemea makosa tukemee tuweke usimba na yanga pembene sema refa amefanya makosa na sio kabeba timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ulivyovitaja vinahitaji hela na huwezi kuvifanya kama huna helaMechi mmebebwa,Yanga (Penalty na Mchimbi hakuwa offiside),Mwadui ,Namungo na leo polisi.Mnasajili kwa hela kubwa,mnalipa mishahara mikubwa lkn bado mechi mnanunua.
Weka yanga pembeni toa jibu hapo kwa uelewa wako goli la kwanza ni offside au sio
Zote Simba na yanga wanapata matokeo kwa kubebwa na waamuzi . ila Simba kaongoza kubebwa kwa mechi nyingi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu. Kunywa coke ya baridi uli relax.Hawa marefa wanatuharibia mpira... Offside kama ya leo sio ya visingizio.
Ujinga kama huu ulikuwepo mechi ya juzi ya Yanga na Mtibwa.. yaani nafasi ambayo sio offside ndio wanapuliza kipenga.. Upuuzi tupu.
TFF na Bodi ya Ligi acheni kutuvurugia mpira.. MAREFA WA HOVYO SANA.
Mimi Simba Sc mpaka nakufa.. ILA UKWELI USEMWE