Kautoe mpira nyavuni,gari imesha waka back to back sita ndio tawaachia na nyieKwa uelewa wako wa soka lile goli ni offside au sio offside
Hapo tunazungumzia Simba vs Polisi Tanzania na sio Yanga Wala mzani ,,,kumbuka mpira haupimwi kwa mizani. Kwa ww unaona Goli hama ni offside. Mana ukizungumzia habari ya usimba na Uyanga Mimi ni Shabiki wa Simba jiulize huyu kocha wetu mpya tokea amefika mbona tuna pata magori ya ndondokela Sana kipindi yupo uchebe hatujawah kuwa na masuala ya kuulizana mambo ya OffsideJaribu kujifunza kubalance mzani.
Mechi ya mwisho ya yanga goli lao lilikuwa offside mliongea au kuhoji?..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mpira wa bongo kuendelea ni ngumu haya VAR ikija Kuna timu itatoka uwanjani kwa uelewa mdogo kama huo wa kisokaKautoe mpira nyavuni,gari imesha waka back to back sita ndio tawaachia na nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenenaHahaha mkuu. Kunywa coke ya baridi uli relax.
Siku zote mwenye nacho huongezewa zaidi.
Kipindi cha manji tulipata shida sana
Mpaka goli za mkono tulikuwa tukifungwa na kina tambweeee.
Kutesa kwa zamu
Una muacha nani sasa sisi wote Simba kwa maendeleo ya soka tutaishia kutafuta mbelekoKautoe mpira nyavuni,gari imesha waka back to back sita ndio tawaachia na nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tunazungumzia Simba vs Polisi Tanzania na sio Yanga Wala mzani ,,,kumbuka mpira haupimwi kwa mizani. Kwa ww unaona Goli hama ni offside. Mana ukizungumzia habari ya usimba na Uyanga Mimi ni Shabiki wa Simba jiulize huyu kocha wetu mpya tokea amefika mbona tuna pata magori ya ndondokela Sana kipindi yupo uchebe hatujawah kuwa na masuala ya kuulizana mambo ya Offside
Hii ninini?Kwakweli hadi inaboa sio kwa mbeleko hizi aiseee kweli mpira wa bongo utachelewa sana kuendelea ndo mana marefa wa tanzania hawachezeshi michuano mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli hadi inaboa sio kwa mbeleko hizi aiseee kweli mpira wa bongo utachelewa sana kuendelea ndo mana marefa wa tanzania hawachezeshi michuano mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya offside unaijui? Laiti kama bocco angepewa pasi kwa wakati huo uliyoweka wewe screen shot kusingekuwa na offside. Lakini ule mpira akapewa mchezaji mwingine kisha Bocco akapewa pasi akiwa kwenye offside position. Mbali na kuwa shabiki, sheria na kanuni za mpira uzijue pia.
Sheria ya offside unaijui? Laiti kama bocco angepewa pasi kwa wakati huo uliyoweka wewe screen shot kusingekuwa na offside. Lakini ule mpira akapewa mchezaji mwingine kisha Bocco akapewa pasi akiwa kwenye offside position. Mbali na kuwa shabiki, sheria na kanuni za mpira uzijue pia.
Sent using Jamii Forums mobile app