lakini haya makosa yako upande 1 tu mbona hawakosei kwa timu pinzani inapocheza naoWaamuzi wetu wanashida sehemu haiwezekani makosa yaleyale kila siku,
Cc. PenisonHawa marefa wanatuharibia mpira... Offside kama ya leo sio ya visingizio.
Ujinga kama huu ulikuwepo mechi ya juzi ya Yanga na Mtibwa.. yaani nafasi ambayo sio offside ndio wanapuliza kipenga.. Upuuzi tupu.
TFF na Bodi ya Ligi acheni kutuvurugia mpira.. MAREFA WA HOVYO SANA.
Mimi Simba Sc mpaka nakufa.. ILA UKWELI USEMWE
Daah! 🤔🤔🤔Hahaha mkuu. Kunywa coke ya baridi uli relax.
Siku zote mwenye nacho huongezewa zaidi.
Kipindi cha manji tulipata shida sana
Mpaka goli za mkono tulikuwa tukifungwa na kina tambweeee.
Kutesa kwa zamu
[emoji23]Kautoe mpira nyavuni,gari imesha waka back to back sita ndio tawaachia na nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutabeba ubingwa huku Yanga wakibaki na mechi tatu mkononi, ambazo hata wakishinda wanabaki nafasi ya tano, [emoji23]Hapa Duniani Hakuna Mashabiki vichwa Maji Kama mashabiki wa Yanga hizi lawama zilishawahi kutolewa kipindi cha nyuma na Simba lakini wao walikuwa wanaleta kejeli na kushangilia Haji Manara alipowaita waandishi wa habari akiwa na Runinga kuonyesha makosa ya waamuzi wetu mashabiki wa Yanga walimkebehi na kumdhihaki leo kibao kimegeuka wamesahau kila kitu kila siku wao ni Malalamiko na vilio kwa TFF juu ya waamuzi. Sasa huu ni mwanzo tu Mbeleko zaidi Zinakuja kama inawauma hamisheni timu yenu mkashiriki ligi ya msumbiji sababu hii Mbeleko itaendelea mpaka 2030.
Hahaha kama nakuona ulivyongonyea!!Daah! 🤔🤔🤔
hahaha usiniambie unataka Ku surrender!!!Nasisitiza wawape tu hilo Kombe.
Ingelikuwa hivyo basi kusingekuwa na sheria ya offside. Kwasababu offside maanake mchezaji yupo peke yake (amezidi mbele) wakati mpira wa assist unapigwa kwake (hakuna aliyemkaba). Sasa kama lazima mchezaji wa timu pinzani akabwe je kwanini kuwe na sheria ya offside?Ilichukua dakika ngapi bocco kupewa pasi?
Unaona kabisa bocco anatoka nyuma na mabeki wanamtegea kumkaba ili iwe offside unataka refa afanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu Mtani.Hahaha kama nakuona ulivyongonyea!!
Kwa hali hii tushakata tamaa mtani. Peweni tu kombe lenu mulihifadhi.hahaha usiniambie unataka Ku surrender!!!
Vibaya kukata tamaa mtani
Umesoma user name ya uliyemquote?Ingelikuwa hivyo basi kusingekuwa na sheria ya offside. Kwasababu offside maanake mchezaji yupo peke yake (amezidi mbele) wakati mpira wa assist unapigwa kwake (hakuna aliyemkaba). Sasa kama lazima mchezaji wa timu pinzani akabwe je kwanini kuwe na sheria ya offside?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingelikuwa hivyo basi kusingekuwa na sheria ya offside. Kwasababu offside maanake mchezaji yupo peke yake (amezidi mbele) wakati mpira wa assist unapigwa kwake (hakuna aliyemkaba). Sasa kama lazima mchezaji wa timu pinzani akabwe je kwanini kuwe na sheria ya offside?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikate tamaaaKwa hali hii tushakata tamaa mtani. Peweni tu kombe lenu mulihifadhi.
EPL kuna VAR lakini watu bado wanalalamikaKweli Mpira wa bongo kuendelea ni ngumu haya VAR ikija Kuna timu itatoka uwanjani kwa uelewa mdogo kama huo wa kisoka
Embu weka screenshot ya wakati mpira unapigwa kuelekea kwa bocco halafu angalia bocco alikuwa kwenye onside au offside position?Boko hakuwa peke yake angalia vizuri.alikuwa na mabeki 3 wa polisi .
Sent using Jamii Forums mobile app
sheria inaangalia position ya mchezaji alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist.Boko hakuwa peke yake angalia vizuri.alikuwa na mabeki 3 wa polisi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nmesema timu itatoka uwanjaniEPL kuna VAR lakini watu bado wanalalamika