Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Hakuna haja maana kipa anaonekana anavyo roll mpira nje
 
Hakuna haja maana kipa anaonekana anavyo roll mpira nje
Tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka mstari wa goal line. Kipa anaweza kuwa ndani ya goal lakini mpira usiwe umevuka goal line. Ndio maana wenzetu hawaangalii kipa yuko wapi au anafanya nini bali wanachora mstari kuonesha position ya mpira kama umevuka goal line au lah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…