Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hakuna haja maana kipa anaonekana anavyo roll mpira nje,Nikajua video uliyoleta ina sahihisha utata uliopo kuwa lile ni goli au sio goli. Kumbe ni video ile ile ya replay tu hakuna jipya. Hapa inahitajika video inayo clear doubt, yaani ioneshe position ya mpira ulipo kisha uchorwe mstari unaougawa goli (goal line) ili tuweze kuona kama mpira ulivuka mstari au lah!
Sent using Jamii Forums mobile app