Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina Hans pope kama nawaona[emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 1730267View attachment 1730269
Labda wale Wachezaji career yao ingine ni UdaktariHivi Simba wanapima wachezaji Covid eeh?
Hivi Simba wanapima wachezaji Covid eeh?
Kinacho nikera Tz huwa hatuwezi kujadili hoja bila vijembe vya Simba na Yanga hio tweet haihusiani utani wa jadi kwanini usi jikite kwenye madaHapa mnahangaika na utopolo.
Kumbuka wapenzi wa utopolo wapo kwenye maumivu makubwa sana.Hawana lolote la kuwapa furaha zaidi ya kuiombea Simba mabaya.
Walikomaa sana na matokeo ya covid kutoka Simba hospital Laboratory.Ndivyo wamedanganywa kwamba Simba ina kitengo cha maabara kwa ajili ya kupima Corona.
Hata wewe unaweza andika huo ujinga....[emoji22][emoji22]View attachment 1730267View attachment 1730269
Caf wenyeweNani anapima na nani anatoa majibu?