Kwa jirani kunaungua!!!!!

Kwa jirani kunaungua!!!!!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
[emoji22][emoji22]
Screenshot_2021-03-20-19-08-13.jpg
Screenshot_2021-03-20-19-04-29.jpg
 
Hapa mnahangaika na utopolo.

Kumbuka wapenzi wa utopolo wapo kwenye maumivu makubwa sana.Hawana lolote la kuwapa furaha zaidi ya kuiombea Simba mabaya.

Walikomaa sana na matokeo ya covid kutoka Simba hospital Laboratory.Ndivyo wamedanganywa kwamba Simba ina kitengo cha maabara kwa ajili ya kupima Corona.
 
Kuna uhusiano mzuri Sana wa ujinga na kushabikia yanga, akili zao waga wanazijua wenyewe Tu, Corona sio ukimwi kwamba ukipimwa ukawa nao basi ndo inakuwa forever, hao jamaa wanahangaika Tu bure Ila wanapaswa kukubali kuwa washatolewa, wamefungwa na kila team kwenye group na nguvu wamewekeza Kwa Simba wakiamini wanawamudu na hawana mbavu za kuishtaki Al AHLY wala Vita maana ni kubwa Sana

Issue ya Corona inajulikana unaweza kupima leo ukakutwa nayo na ukapima jumapil ukawa hauna kwahiyo CAF hawawezi ata kujisumbua na hayo majibu Yao, Kwanza referee nae alikutwa na Corona hivo ni assurance kwamba hao jamaa nao pia walikuwa na Corona, na kibaya zaidi CAF ndio wanasimamia upimwaji wa Corona, UTOPOLO kabla hujaonesha ujinga wako fikilia Kwanza basi ata kidogo, mnafanya washabiki wa yanga wenye akili timamu waonekane nao ni hamnazo
 
Hapa mnahangaika na utopolo.

Kumbuka wapenzi wa utopolo wapo kwenye maumivu makubwa sana.Hawana lolote la kuwapa furaha zaidi ya kuiombea Simba mabaya.

Walikomaa sana na matokeo ya covid kutoka Simba hospital Laboratory.Ndivyo wamedanganywa kwamba Simba ina kitengo cha maabara kwa ajili ya kupima Corona.
Kinacho nikera Tz huwa hatuwezi kujadili hoja bila vijembe vya Simba na Yanga hio tweet haihusiani utani wa jadi kwanini usi jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom