Kuna uhusiano mzuri Sana wa ujinga na kushabikia yanga, akili zao waga wanazijua wenyewe Tu, Corona sio ukimwi kwamba ukipimwa ukawa nao basi ndo inakuwa forever, hao jamaa wanahangaika Tu bure Ila wanapaswa kukubali kuwa washatolewa, wamefungwa na kila team kwenye group na nguvu wamewekeza Kwa Simba wakiamini wanawamudu na hawana mbavu za kuishtaki Al AHLY wala Vita maana ni kubwa Sana
Issue ya Corona inajulikana unaweza kupima leo ukakutwa nayo na ukapima jumapil ukawa hauna kwahiyo CAF hawawezi ata kujisumbua na hayo majibu Yao, Kwanza referee nae alikutwa na Corona hivo ni assurance kwamba hao jamaa nao pia walikuwa na Corona, na kibaya zaidi CAF ndio wanasimamia upimwaji wa Corona, UTOPOLO kabla hujaonesha ujinga wako fikilia Kwanza basi ata kidogo, mnafanya washabiki wa yanga wenye akili timamu waonekane nao ni hamnazo