Kwa jirani kunaungua!!!!!

Mikia mkae mkijua manji anarudi
 
Umemaliza kila kitu, ujinga wa utopolo ni zaidi ya ushabiki wa mpira. Wanasafari ndefu sana, Namungo wamesha waacha mbali sana .
 
Hii issue ya Covid CAF waiangalie upya Al ahil walipo kua Congo wachezaji watano walikutwa na covid, wao wana dai walikua negative hii kitu inataka kutumika kama plan B nje ya uwanja

Kwa hiyo mechi zote alizopoteza ni corona ? Poor
 
Kwa hiyo mechi zote alizopoteza ni corona ? Poor
Soma uelewe logic yangu ni kwamba kuna team zina tumia hii kitu kama kichaka cha kudhoofisha team zingine una kumbuka Plateu, Platinum walikutwa na covid hao El Marekh ,Namungo nao kesi yao huko Angora, El marekh pia waliwatoa team ya Ghana kwa hio hio mambo ya Covid ifike mda CAF wawe makini hasa hizi round mbili za mwisho
 
Yaani kafungwa Vita nyumbani kwake, kafungwa Alhly hapa, hao wasudan wana maajabu gani mpaka wafanyiwe figisu figisu za kusingiziwa ili wachezaji wao wasicheze..?

Utopolo hiyo mimba ya gsm haizaliki nawaambia..
 
Mpira haupo hivyo jamaa yangu kila mechi ina matokeo yake ukisema hivyo basi Simba isinge draw na Prison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…