Kwa jirani kunaungua!!!!!

Kwa jirani kunaungua!!!!!

Huwezi kuelewa ila ni malalamiko ya el Mereikh yakibebwa na mashabiki wa upotolo, simba haihusiki na upimaji corona

Simba inahusika na hizi hujuma wala hamuwezi kuzikwepa,na hii strategy mmeiga kutoka Namungo. Sasa kama mnashindwa kucheza mpira naona mwisho wenye fedhea unakuja.
 
Caf walishapata changamoto kwenye michuano iliyopita hivyo waliweka utaratibu ili hayo makosa yasijirudie, hivi wasudan na wamisri wapi wana timu kali? Hoja yao haina nguvu
Kumfanyia ubaya/fitina mtu ambaye unategemea kwenda kwake

Na kumfanyia ubaya mtu ambaye hutegemei kwenda kwake ipi ni rahisi?
 
Hii Yanga kuanzia viongozi mpaka mashabiki wamekuwa hawatumii akili zao kabisa linapokuja suala la Simba. Kuna siku Mwakalabela aliulizwa anazungumziaje mafanikio ya Simba katika hatua ya makundi,akajibu hajapata hizo habari kama Simba ipo hatua ya makundi
Yule bongenyanya mataputapu yamemuathiri ubongo,anajiropokea tu
IMG-20210312-WA0007.jpg
 
Duh! Kumbe walifanya figisu mpaka kwa Refa[emoji23][emoji42]
Screenshot_2021-03-24-19-43-54.jpg
 
Ila simba kama kweli wamefanya hivyo basi hawakuwaza mbali kwa team ile mbovu ndo waifanyie fitna waiache al ahly sio kweli hilo naamini
 
Ila simba kama kweli wamefanya hivyo basi hawakuwaza mbali kwa team ile mbovu ndo waifanyie fitna waiache al ahly sio kweli hilo naamini

Mkuu mazoea hujenga tabia,hao Simba washazoea kufanya figisu nyumbani sasa wamejichanganya na nje. Wakitoka kwenye hii kashfa kwani ni ukweli wakafanye kafara na matambiko kama kawaida yao
 
CAF ina uongozi mpya, unaweza kuchukua hatua malalamiko ya timu na kuziweka matatani timu zinazolalamikiwa, suala la simba limevuma mno , na tena al merekh waliweka kabisa kwenye officially page yao, kuna image mbaya wanaitengenezea simba kimataifa, hata ushindi wake utaonekana wa mbinu za nje ya uwanja, na ujue ili kundi al ahly anafanya kila mbinu awe wa kwanza waikwepe mamelodi quater final!
Uko sahihi kwa maoni, ila nafikiri hata CAF hawezi kuhukumu bila kufanya uchunguzi. Hao El Merick kwao tu walikua na Wachezaji ambao walikua na korona, afu kuna tetesi kua hawakuwalipia Wachezaji wao wote gharama za vipimo ndio maana hawakupewa majibu yote
 
Back
Top Bottom