Kwa jirani kunaungua!!!!!

Hamjui kuwa hiyo ni kashfa kubwa, inachafua brand na kufanya muangaliwe kwa jicho la 3!
Mbumbumbu uelewa wao ni mdogo, angalia kama hapa povu kama lote kwa Yanga badala ya kupambana na El Merreikh waliowashitaki CAF[emoji42]
 
Mbumbumbu uelewa wao ni mdogo, angalia kama hapa povu kama lote kwa Yanga badala ya kupambana na El Merreikh waliowashitaki CAF[emoji42]
Kuichukia Simba hakutoiinua yanga, amkeni sasa mpeni mtu awajengee timu yenu....
Mambo ya anafaidika nini achananeni nayo, hizo ni pesa zake msimpangie saana jinsi ya kufaidika mradi tu hatajimilikisha club.
 
Kuichukia Simba hakutoiinua yanga, amkeni sasa mpeni mtu awajengee timu yenu....
Mambo ya anafaidika nini achananeni nayo, hizo ni pesa zake msimpangie saana jinsi ya kufaidika mradi tu hatajimilikisha club.
Mnatrend yan![emoji42]
 
Kama ikitokea Simba kuwa banned namshauri Mo zile bonus azibadilishe ziwe mishahara. Kwa hiyo wachezaji watakuwa wanadaiwa mishahara miezi mingi inayokuja hahaa
 
Hii Yanga kuanzia viongozi mpaka mashabiki wamekuwa hawatumii akili zao kabisa linapokuja suala la Simba. Kuna siku Mwakalabela aliulizwa anazungumziaje mafanikio ya Simba katika hatua ya makundi,akajibu hajapata hizo habari kama Simba ipo hatua ya makundi
 
simba wawe makini mechi ijayo na vita, vita wakilalamika kufanyiwa hujuma zozote simba watakuwa matatani sana
 
simba wawe makini mechi ijayo na vita, vita wakilalamika kufanyiwa hujuma zozote simba watakuwa matatani sana
Hata sisi tulipata draw nao lakini tulilalamika,kule Nigeria tulilalamika lakini wapi matokeo hola ,huez amini hata game na Vita tulishinda ila tuliacha wachezaji 6 sababu ya corona na kulalamika lakini hali ilibaki kua vilevile nahisi vita walikosea target kwamba mkude ana Corona kumbe sie tushaamia kwa Lwanga
 
CAF ina uongozi mpya, unaweza kuchukua hatua malalamiko ya timu na kuziweka matatani timu zinazolalamikiwa, suala la simba limevuma mno , na tena al merekh waliweka kabisa kwenye officially page yao, kuna image mbaya wanaitengenezea simba kimataifa, hata ushindi wake utaonekana wa mbinu za nje ya uwanja, na ujue ili kundi al ahly anafanya kila mbinu awe wa kwanza waikwepe mamelodi quater final!
 
Hawa El Merreikh wanalipa sababu hata sisi malalamiko yao tuliyaweka official hadi kwenye page zetu na wakati huo CAF wana medical department yao inayojihusisha na upimaji wa covid


Hata simba kupitia msemaji wake tulikubali kua Merreikh walitufanyia fair sana nyumban kwao hivyo hatuna haja ya kuwafanyia figisu, naona ni kama wametufanyia kile tulichowafanyia baada ya game tuliyo draw kwao




Merreikh ni timu pekee iliyofanya usajili mkubwa kwenye kundi letu bila kuzingatia mahitaji ya benchi la Ufundi wachezaji wapya zaidi ya 15 na hata wakiwa wanacheza huoni wanatumia mfumo gani au huoni wanachokifanya uwanjani yani wapowapo tu



Malalamiko pekee ya kuiharibia Simba labda ya As Vita na Saoura ya misimu miwili ilopita ya mwaka huu ni ya kawaida
 
Malalamiko yao hayana nguvu kwani mechi ya kwanza na Simba tena kwao wachezaji wao watano walikutwa na Corona lakini hakuna hata mmoja wa Simba alikutwa na Corona.
Wanaosimamia upimaji wa corona ni mamlaka husika za nchi kwa kushirikiana na maofisa wa afya walioteuliwa na caf inawezekana wamechanganyikiwa na matokeo pamoja na Simba kufanya vizuri baada ya kumchukua kocha wao ni wivu tu unawasumbua.
 
Aj sooura hawakuwahi kuwalalamikia Simba, as vita walipotoshwa na utopolo ndio maana malalamiko yao hayakupewa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…