Kwa jirani kunaungua!!!!!

hata mimi nashangaa, naamni kuna jopo maalum la wataalam kusimamia haya, na inawezekana wengine wanatoka caf
Caf walishapata changamoto kwenye michuano iliyopita hivyo waliweka utaratibu ili hayo makosa yasijirudie, hivi wasudan na wamisri wapi wana timu kali? Hoja yao haina nguvu
 
Huwezi kuelewa ila ni malalamiko ya el Mereikh yakibebwa na mashabiki wa upotolo, simba haihusiki na upimaji corona

Simba inahusika na hizi hujuma wala hamuwezi kuzikwepa,na hii strategy mmeiga kutoka Namungo. Sasa kama mnashindwa kucheza mpira naona mwisho wenye fedhea unakuja.
 
Caf walishapata changamoto kwenye michuano iliyopita hivyo waliweka utaratibu ili hayo makosa yasijirudie, hivi wasudan na wamisri wapi wana timu kali? Hoja yao haina nguvu
Kumfanyia ubaya/fitina mtu ambaye unategemea kwenda kwake

Na kumfanyia ubaya mtu ambaye hutegemei kwenda kwake ipi ni rahisi?
 
Yule bongenyanya mataputapu yamemuathiri ubongo,anajiropokea tu
 
Duh! Kumbe walifanya figisu mpaka kwa Refa[emoji23][emoji42]
 
Ila simba kama kweli wamefanya hivyo basi hawakuwaza mbali kwa team ile mbovu ndo waifanyie fitna waiache al ahly sio kweli hilo naamini
 
Ila simba kama kweli wamefanya hivyo basi hawakuwaza mbali kwa team ile mbovu ndo waifanyie fitna waiache al ahly sio kweli hilo naamini

Mkuu mazoea hujenga tabia,hao Simba washazoea kufanya figisu nyumbani sasa wamejichanganya na nje. Wakitoka kwenye hii kashfa kwani ni ukweli wakafanye kafara na matambiko kama kawaida yao
 
Uko sahihi kwa maoni, ila nafikiri hata CAF hawezi kuhukumu bila kufanya uchunguzi. Hao El Merick kwao tu walikua na Wachezaji ambao walikua na korona, afu kuna tetesi kua hawakuwalipia Wachezaji wao wote gharama za vipimo ndio maana hawakupewa majibu yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…