Umezoea ushirikina kila jambo unawaza ushirikina. Itakua umejaa chale mwilini wewe. Issue inahusu simba ila unaumia sana Utopolo.Mkuu mazoea hujenga tabia,hao Simba washazoea kufanya figisu nyumbani sasa wamejichanganya na nje. Wakitoka kwenye hii kashfa kwani ni ukweli wakafanye kafara na matambiko kama kawaida yao
Referee alikua mmoja ana chezesha ikifika mda wa sub anatoka nje ana nyoosha board then anarudi katiKwani aliyechezesha nani? Hizo account utopolo mnajitengenezea afu mnajitekenya wenyewe kisa mnacheka
Ukiwa upotolo ni tatizo kubwa , mechi zote Simba walizochezeshwa marefa wao ni wa kimataifa.Duh! Kumbe walifanya figisu mpaka kwa Refa[emoji23][emoji42]View attachment 1733508
no, corona inapimwa kwenye maabara ya nchi ya timu wenyeji chini ya uangalizi wa afisa wa covid alieteuliwa na chama cha soka cha nchi ya timu wenyeji, kwa hiyo kwa ishu ya el merekh hata tff wana cha kujieleza.hata mimi nashangaa, naamni kuna jopo maalum la wataalam kusimamia haya, na inawezekana wengine wanatoka caf
ni kweli caf watafanya uchunguzi, ndio maana simba wanatakiwa wawe makini mechi ijayo na vita, ikitokea vita wakalalamikia figisu nyingine yoyote nje ya uwanja iwe covid au kitu kingine malalamiko ya el merekh yatapata nguvu, na vita watatafuta sana kosa lolote nje ya uwanja wapate sababu ya kutolewa kwao maana yule kocha wao ana hali mbaya akifungwa na simba watamtimua!Uko sahihi kwa maoni, ila nafikiri hata CAF hawezi kuhukumu bila kufanya uchunguzi. Hao El Merick kwao tu walikua na Wachezaji ambao walikua na korona, afu kuna tetesi kua hawakuwalipia Wachezaji wao wote gharama za vipimo ndio maana hawakupewa majibu yote
Simba hawahusiki na upimaji corona, CAF watafatilia kwa karibu ili kuondoa malalamiko.ni kweli caf watafanya uchunguzi, ndio maana simba wanatakiwa wawe makini mechi ijayo na vita, ikitokea vita wakalalamikia figisu nyingine yoyote nje ya uwanja iwe covid au kitu kingine malalamiko ya el merekh yatapata nguvu, na vita watatafuta sana kosa lolote nje ya uwanja wapate sababu ya kutolewa kwao maana yule kocha wao ana hali mbaya akifungwa na simba watamtimua!
Kuna case yoyote iliyo wahai kwenda CAF au FIFA ikiwahusu Simba afu ikatokea Simba akabanwa mbavu?Mkuu mazoea hujenga tabia,hao Simba washazoea kufanya figisu nyumbani sasa wamejichanganya na nje. Wakitoka kwenye hii kashfa kwani ni ukweli wakafanye kafara na matambiko kama kawaida yao
ni kweli caf watafanya uchunguzi, ndio maana simba wanatakiwa wawe makini mechi ijayo na vita, ikitokea vita wakalalamikia figisu nyingine yoyote nje ya uwanja iwe covid au kitu kingine malalamiko ya el merekh yatapata nguvu, na vita watatafuta sana kosa lolote nje ya uwanja wapate sababu ya kutolewa kwao maana yule kocha wao ana hali mbaya akifungwa na simba watamtimua!
ni kweli, lakini kumbuka hiyo corona inapimwa na madaktari wa TANZANIA kwenye maabara iliyoko TANZANIA, kwa iyo ni rahisi hao wapimaji ambao ni WATANZANIA kutoa majibu fake ili kusaidia timu yao ya tanzania, na iyo ndio hoja ya el merekhSimba hawahusiki na upimaji corona, CAF watafatilia kwa karibu ili kuondoa malalamiko.
Vita wana asili ya ubishi kwa kupotoshwa na upotolo, kama walivaa mask kipindi kile kusingizia Simba wamewapulizia dawa si ajabu hata wakikutwa na corona watasingizia ni figisu
kuna timu zikilalamika zinasikilizwa mkuu, kumbuka baada ya mechi ya simba na al ahly, kocha wa al ahly alilalamikia atmosphere ya uwanja( uwepo wa washabiki uwanjani) na CAF wakapiga ban mashabiki uwanjani! . . CAF nao wana timu zao wanazozipendelea... ni sawa na TFF wanavyozipendelea Yanga na Simba.Wenae team za Africa nikawaida kulalamika ili kuwapoza mashabiki wao
Izo mbwembwe tu mkuu, ni propaganda tu za soka ambazo wandishi uchwara wanazusha bila chanzo chochote kwa Mwamvuli wa GSM wakidhan Simba itagawanyika kitu ambacho niuongo misimu yote anayo shiliki club bingwa lawama ni hizo hizo ila hakuna kinacho tokea AS vita kunamwaka walivaa hadi barakoo kua wamepuliziwa sumukuna timu zikilalamika zinasikilizwa mkuu, kumbuka baada ya mechi ya simba na al ahly, kocha wa al ahly alilalamikia atmosphere ya uwanja( uwepo wa washabiki uwanjani) na CAF wakapiga ban mashabiki uwanjani! . . CAF nao wana timu zao wanazozipendelea... ni sawa na TFF wanavyozipendelea Yanga na Simba.
Mwaka huu mtateseka sana nyani wa Utopolo.[emoji22][emoji22]View attachment 1730267View attachment 1730269
Uzi umepoa[emoji23][emoji23][emoji23]Washaukimbia tayari [emoji1][emoji1][emoji1]
Utopolo wanadhani mnyama mwoga !Uzi umepoa[emoji23][emoji23][emoji23]