Umezoea ushirikina kila jambo unawaza ushirikina. Itakua umejaa chale mwilini wewe. Issue inahusu simba ila unaumia sana Utopolo.Mkuu mazoea hujenga tabia,hao Simba washazoea kufanya figisu nyumbani sasa wamejichanganya na nje. Wakitoka kwenye hii kashfa kwani ni ukweli wakafanye kafara na matambiko kama kawaida yao
Tukutane semi final