Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

joto la dar sio powa huku kigamboni sio powa hadi nimeenda kupiga show game baharini na mtoto wa kiitaliano lakini bado naskia joto kalii sana hapo nipo napepewa na upepo wa baharini na ufagio wangu huku nikisikiliza goma la the weeknd too late
 
Mkuu kesho nakuja huku kupunga upepo..
Nitakuepo live hapo pweza beach..

Kingine samahan nje ya mada naomba na mimi nitafutie mtoto wa kitaliano sijui ata akiwa sio mtoto yaani awe mwanamke tuu wa kitaliano
 
Back
Top Bottom