Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Tunazisaka kinoma noma yani
Alaf ikitokea zali la mtoto mzuri, tunasahau joto la mjini
Hapana kwenye jotoo daah..
Kuna siku nipo napiga show lile joto aiseee yaani ilikua hatarrrr

Ndo mana nikanunua vifeni vidogo kama vinne nikiwa na show navizungusha kitandani mkuu
 
Back
Top Bottom