Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Dar ni joto ila kuna special cases kama Buguruni......kuna mwamba juzi alinichekesha anasema siku hizi bro hili joto watu wa Buguruni tunalala halafu usiku tunatoka nje unaoga na kupumzika ๐Ÿ˜€
Buguruni kama wamelaaniwa hvi mkuuu daaah yaani watu wa kule mi sijawahi waelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ