Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Ili mradi tunakumbatiana Me vs Ke wala hakuna shida, hata jotoridi lisome 40°C kama tuna uwezo wa kukumbatiana tutafanya hivyo.

Nikidhani unawasema wale jamaa zetu, ila Me vs Ke tuna uhuru🤣🤣🤣
 
Hapana kwenye jotoo daah..
Kuna siku nipo napiga show lile joto aiseee yaani ilikua hatarrrr

Ndo mana nikanunua vifeni vidogo kama vinne nikiwa na show navizungusha kitandani mkuu
Ngoja siku ujichanganye vikukute mgongoni 😂😂
 
Unakuta joto kama hili hapa jijini Dar es Salaam

Ila kuna watu wamekumbatiana mda huu wa usiku

Are serious...
Mkuu Kuna watu Wana AC Sasa ili joto litoke wapi?!

Pia Kuna feni Mbona unali neutralize jotoo..

NB.
Kulikua na joto balaa yaan hakukaliki / hakutembeleki / hakulaliki / yaan joto balaa..
 
Back
Top Bottom