GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
Uchawi hauna nguvu yoyote ileWewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
Hili kafara la wakati huu linatofauti yoyote na lile mlilowafanyia Jwenung Galaxy?Sawa LIKUD
Kuna Watu nikiwaita Wapumbavu mnadhani nakosea au nawadhalilisha tu wakati Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi 100%.
Mkwara huo.Mnategemea ushirikina kupata ushindi hovyo kabisaWewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
Aliyekuambia kuwa Yanga SC hawarogi ni nani?Mkwara huo.Mnategemea ushirikina kupata ushindi hovyo kabisa
Sitaki kulizunguzia hili katika mrengo wa mleta mada, ila kama unaamini uchawi hauna nguvu yoyote ile bado haujakuaUchawi hauna nguvu yoyote ile
NakaziaHuko bunda utafanyia wapi hiyo kafara wewe kiazi?
Duh kumbe huyu jamaa anaishi Mara? Ndio maana Kiswahili chake kina matege. Mfano anasema " aliteswa mpaka na Hadi kufa" .. " mpaka na Hadi"Watanzania tumeacha lini ukarimu?
Akija mgeni ndio huwa tunamchonjia jogoo mkubwa na kumpikia wali.
Akija mgeni tunampa chakula kwenye vyombo vipya.
Tena kwenu nyie watu wa mkoa wa Mara, akija mgeni unampisha chimbani alale na mkeo, wewe unaenda kulala zizini na ng'ombe