Kwa 'Kafara' Kubwa na la Hatari tulilofanya ukithubutu kwenda Kuwapokea Gendamarie kwa 'Kiherehere' chako tusilaumiane

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
 
Tumewaeleza yote leo pale mbezi stand.

Tumewaambia wakawapokee TU wataona kitakachowapata
 
Watanzania tumeacha lini ukarimu?
Akija mgeni ndio huwa tunamchonjia jogoo mkubwa na kumpikia wali.
Akija mgeni tunampa chakula kwenye vyombo vipya.
Tena kwenu nyie watu wa mkoa wa Mara, akija mgeni unampisha chimbani alale na mkeo, wewe unaenda kulala zizini na ng'ombe
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
 
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
Uchawi hauna nguvu yoyote ile
 
Jambo jema ni kwamba ushindi wa Simba unafaida pia kwa nchi kupata nafasi za uwakilishi wa vilabu vinne mwakani, hivyo ninaimani safari hii hawatajishugulisha kwenda kuwapokea wageni.

Pia tuliona Timu ya Asec Mimosa ilivyowashushua kwa kuwakatalia' mamluki' sapoti yao walivyokuja Bongo. Hii ni sababu nyingine itayowafanya hawa mamluki wasijishugulishe tena kuwasapoti wageni.

Sababu nyingine ni kwamba Adebayo ni mchezaji wa Simba msimu ujao, hivyo ni kama vile Simba imemtuliza asiwe na Madhara kwa timu yake mpya.
 
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu 'Kimakusudi' Simba SC.
Mkwara huo.Mnategemea ushirikina kupata ushindi hovyo kabisa
 
Watanzania tumeacha lini ukarimu?
Akija mgeni ndio huwa tunamchonjia jogoo mkubwa na kumpikia wali.
Akija mgeni tunampa chakula kwenye vyombo vipya.
Tena kwenu nyie watu wa mkoa wa Mara, akija mgeni unampisha chimbani alale na mkeo, wewe unaenda kulala zizini na ng'ombe
Duh kumbe huyu jamaa anaishi Mara? Ndio maana Kiswahili chake kina matege. Mfano anasema " aliteswa mpaka na Hadi kufa" .. " mpaka na Hadi"
 
Acha tumaliziee awamu zenu kuwapokea wapinzani wenu!! Naamin msimu ujao nanyie mtawapokea sana😀😀🚶
 
Back
Top Bottom