Kwa kampeni yenu hii, mtawatoa wote lakini hamtaweza kuyafuta waliyoyafanya

1. Kwanini iishie kuuma tu?

2. Ni kweli kuwa hatuna la kufanya?

3. Ni kweli kuwa hatuwezi kama wana wa nchi hii kuwa na maridhiano baina yetu wenyewe dhidi ya wanaotaka kutufanya sisi watwana na wao watawala?

4. Ni kweli tumefilisika kimawazo namna hii?
Mkiambiwa katiba mpya mnaona haiwahusu
Mtanyooka tuu
 
Imetosha sasa,
Ooh mama , mama, mama,. !!!
Hilo li mama lenu lenyewe lina roho mbayaaaa, silipendi.
 
Ni muda wetu Sasa tuliwapa miaka mitano
Tumerudisha chama kwetu tulien wajinga nyie

Hakuna miaka 5 alipewa yeyote. Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa mawazo mgando kama yako.

Mikakati ya kuipata katiba mpya iko wapi?

Ndiyo maana unathubutu kuwa address (kuelekeza shutuma kwa) watu wa kufikirika kana kwamba wewe haikuhusu. Kwani:

1. Nani anayeongoza harakati hizo za kudai katiba mpya?
2. Nani kama jahazi haliendi inavyopaswa una haki ya kumwulizia au hata kumwajibisha?
3. Nani anayeratibu harakati nzima na kutoa mrejesho wa maendeleo kila inapohitajika?

CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo

Au unategemea kuna mtu ataamka kutokea nyumbani kwake ghafla kukuletea katiba mpya ulipo ukiwa umelala kwako?
 
Mh
 
Back
Top Bottom