bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Mbona povu kwa wingi? Au umenyimwa ulaji?Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.