Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguzo ni ulaji.Kwani kuna nini jamani? Wote tunajenga nyumba moja kwanini tugombee nguzo?!
Kwani sasa hivi umeacha kulipa kodi?ndege zimenunuliwa kwa kodi yangu, interchange (wewe unaziita flyover maana hata hujui flyover ni nini) zimejengwa kwa kodi yangu. Jiwe alikuwa anatekeleza ilani ya chama na alikuwa analipwa kwa kutekeleza ilani hiyo.
sijaacha na sitaacha ila usipotoshe kuwa jiwe ndiye kanunua ndegeKwani sasa hivi umeacha kulipa kodi?
Yawezekana ulikuwa sahihi lakini ulipohusisha swala la uchaguzi umefuta kila kitu.Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
1.5 lazima ijulikane ilienda wapiUtaweza kuifuta na miradi yao?
Hivi Sukumagang ni nini? Mwanasiasa yeyote makini hawezi kucheza na kura zaidi ya 30% ya wapiga kura wake! Hii Sukumagang kama huijui vizuri kafanye homework yako vizuri. Tunahitaji heshima zaidi ya hivi vijembe vyenu vya kipuuziMtahangaika sana nyinyi sukumagang.
Mwacheni raisi samia aongoze nchi,msimuingilie wala msimpangie.
Nyinyi ni kina nani wa kumchagulia marafiki na maadui?
Vipi kuhusu fly over zao, unafaidi tu toto la gaidiHata waliosimamia uonevu,dhuluma,kubambikia kesi za uhujumu uchumi,kuteka na kupoteza watu,kubambikia kodi na maovu mengine nao hata wakiondolewa hayo madhambi yao tunayo mioyoni mwetu.
Chief Hangaya hategemei kura zenu. Tume ya Uchaguzi yake, Polisi yake na wakurugenzi wake.Watakuja kwa kutambaa kuomba kura
Huu mkwala tu mkuu, wangapi washapita kwenye hizo nafasi na maisha yakaendelea!!! Tz ni ileile tu miaka nenda rudiNimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Huyo nae mjinga flani nadhani niwa ukande uleeee. Waliamini watazikalia hizo nafasi mpaka wafie hapoKwa hiyo kwa akili yako umeona hao hawatakiwi kuguswa?
Kwani wengine hawawezi kufanya better than hao!
Yaani Mwendazake aliwaaminisha kuwa yy ni malaika au Mungumtu mpk hamtaki teuzi zake ziguswe.
Ulitegemea uje na Sera ya kutetea ushoga alafu watanzania wakuchague ? Hovyo kabisa wewe
Sukuma Gang kutwa mnamtukana Samia mitandaoni, halafu mnataka awaache, mnapigwa chini wote kwenye SyteamNimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!