Kiturilo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2021
- 708
- 2,859
- Thread starter
- #41
Kufikisha nchi uchumi wa kati ndiyo kuharibu nchi?We ulitaka wabaki kufanya nini? Si walikwiba na kuharibu uchumi wa Nchi?
Ni watatoka wote kwani nyie mliwaacha wote waliokuwa awamu ya 4?
Ukae na majitu ambayo hayaendani na wewe kwa ajili gani?
Mwisho naona mnatapatapa sasa ,ni hivi hakuna mtu aache kutatua kero za wananchi eti ahangaike sijui kufuta sijui huo upumbaymliuweza nyie watu wa visasi kwenye awamu yenu sisi tunachapa kazi nyie endeleeni kutapatapa kama mfa maji na kazeni maana 2035 sio kesho.