Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Huyu ndiyo dalali wa mali za ummaKwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
Ni mhujumu uchumi no 1Huyo anapaswa kukamatwa na kufiliwa na mkewe
Tulifanya kosa kubwa sana kama Taifa kumpa urais Kiwete. hizi ndiyo tabia halisi za watu wa pwani - ndumila kuwili.Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
Ndiye mwenye(mwanzilishi mwenza) wa mtandao?HPolepole haneni Uongozi maana hana Cha kupoteza(Kawaida ya Wana CCM wanapotoka).JK siyo mwanamtandao
Statement yako inakosa mashiko hapo kwenye Bold unaongelea Kauli za Polepole na Sio Ukweli / Uhalisia kwa kinachosemwa...; Kwahio JK atakosa uhalali kwa sababu ya uhalisia wa kinachosemwa na sio Kauli za yoyote yule...Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
Mpumbavu kweli weweJK siyo mwanamtandao
Kama unajua siyo mwanamtandao basi unajua aliye mwanamtandao...naomba list!!JK siyo mwanamtandao
mzee mgaya unaendeleaje?JK siyo mwanamtandao
Matusi hayajawahi kuwa msaada kwenye jambo lolote zaidi ya lile tendo ila wazazi wako ili upatikane wewe 🐼Mpumbavu kweli wewe
Salama kabisa bwasheemzee mgaya unaendeleaje?
Polepole na ******* wenzie wanajua kabisa bila Kikwete wangemuyumbisha Mwenyekiti kwahiyo wanatamani wawagombanishe kwanza halafu waanze kuharibu mambo.Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
Ilimradi genge la wahuni baso linaongoza hii nchi, Hamna namna tutamkwepa huyu MzeeKwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?