Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

Iwapo nchi itakubaliana visasi kama hivi kwa watu waliokosa fursa niwazi nchi ntakuwa genge la watu wahuni walioshindikana !! Kama mtu alipewa mdomo na fursa akinyang'anywa anatoa siri zote ni sawa na mwanaume mtoto aliyekosa malezi !! Nini kitatokea iwapo kila mtu ataamua kutoa siri za x wake !! Sijui kama atakuwa na mke huyu slowly !! Ifike wakati ccm ikome kuvamia watu wasioeleweka na kuwaacha makada
 
Polepole na ******* wenzie wanajua kabisa bila Kikwete wangemuyumbisha Mwenyekiti kwahiyo wanatamani wawagombanishe kwanza halafu waanze kuharibu mambo.
Nani aliyeko hai leo anakijua chama kuliko Jakaya Mrisho Kikwete
Hayo mambo ya kujifanya mnakijua Chama ndo yamekiharibu chama..ndo mnapitisha mgombea bila utaratibu matokeo yake ndo haya.Sheria na taratibu zipo, mdo cha msingi
 
JK siyo mwanamtandao
1755861050411.jpeg
1755861070034.jpeg
 
Hayo mambo ya kujifanya mnakijua Chama ndo yamekiharibu chama..ndo mnapitisha mgombea bila utaratibu matokeo yake ndo haya.Sheria na taratibu zipo, mdo cha msingi
Tuongelee 2030 sasa hakuna kurudi nyuma, halafu mazoea siyo sheria
 
Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
Unauliza tako la nyani wakati mkia unaziona?
 
Back
Top Bottom