Hebu fuatilia history za nchi zilizokuws na watu wengi baadaye ndo maendeleo yakawafuata like China India Nigeria Brazil si unaona zinakuja juu kiuchumi.
Mkishakuwa wengi afu umasikini upo na njaaa ndo akili kumkichwa zinakuja watu wanaumiza akili mpaka wanatoboa.
Usiwe brainwashed na wazungu mkuu.
Ivi unajua kuwa eneo la Norway kwa Tz inaingia Mara 5 Ila sie idadi yetu tunaingia kwao Mara sita.
Mkishabanana hata eneo la urithi likakosa ndo kunakuwepo na akili za kuwaza nje ya Box.
Huku mbona maliasili zipo Sana mbuga kubwa kuliko zote duniani, cows ,migodi na ardhi mzuri kwa kilimo.