Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

Aseee nmeptembea mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa watu huku wanazaliana kama utitiri huwez kumkuta bint asiye ba mtoto kanda ya ziwa....alafu afya za watoto wengi wadogo ni mbaya munooo nilikuwaa wilaya flan bado magonjwa ya miaka mingi kama unyafunzi kanda yq ziwa upo kwa wingi munooo alafu kuna mortality rate ya hali ya juu
 
Aseee nmeptembea mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa watu huku wanazaliana kama utitiri huwez kumkuta bint asiye ba mtoto kanda ya ziwa....alafu afya za watoto wengi wadogo ni mbaya munooo nilikuwaa wilaya flan bado magonjwa ya miaka mingi kama unyafunzi kanda yq ziwa upo kwa wingi munooo alafu kuna mortality rate ya hali ya juu
Hao jamaa ni shida na huwa hawajisumbui Sana kwenye malezi na shule kila mtu atajijua
 
Halafu Tanzania ni kubwa sana!! Hata hii kasi haijatosha bado!!
Sawa ni kubwa lakini uwezo wa serikali kuwahudumia Hawa watu ni mdogo.

Tija ya watu pia ni ndogo kwa hiyo watu wanakuwa mzigo kuliko faida.

Na hayo maeneo ya Kanda ya Ziwa yanakuwa msongamano mkubwa unaozaa umaskini
 
Usiniulize mimi mjiulize wenyewe maana growth rate yenu ni 2.6 ambayo itapungua kwa sababu za elimu zaidi,kipato zaidi na kuwa busy na kusaka pesa.
Dar es salaam haitegemei tu rate ya kuzaliana ndani ya dar, wa mikoani wanaingia dar kwa kasi sana. By the time mwanza imefika hapo dar itakua mbali sana. Na wanaoingia dar sio kuwa wamefungiwa speed gavana ya kuzalisha...
 
Dar es salaam haitegemei tu rate ya kuzaliana ndani ya dar, wa mikoani wanaingia dar kwa kasi sana. By the time mwanza imefika hapo dar itakua mbali sana. Na wanaoingia dar sio kuwa wamefungiwa speed gavana ya kuzalisha...
Wewe hatuongei kwa kutunga,angalia kasi ya mabadiliko kwa sehemu zote 2 kwa reference ya sensa ya 2012

Dar watu wataongezeka ila watakuwa around 7 mil.both kwa kuzaana na uhamiaji.

Mkoa wa Mwanza watu watafikia around mil.8 yaani watadabo kutokana na kuzaana na hii itakuwa ni Kanda yote ya ziwa.

Kwanza kasi ya uhamiaji kwa Dar imepungua kwa vile sehm zingine za nchi zinafanya vizuri kiuchumi nk
 
Jamii forum ina watu mchanyiko, kwahiyo unataka kuishi maisha ya miaka ile?asante kiongozi
Mbona unashangaa mkuu? Hayo magonjwa yaliletwa na watalaamu ili watu wawe watumwa wa dawa zao.
Pharmacists don't create cure but they rather create customers sir bear it in your mind.
Kuna eneo fulani Ivi wilayani ngorongoro haikuwaga na mbu Hawa watalii waliziletaga.
Ndo Mana ukitokea kutibu Kansa ama unapinga madawa Yao unapotezwa
 
Sasa ndugu watu wenye mapato mil.2.6 kwa mwaka wanakuzaje uchumi?

Ndiyo maana nasema kilimo kikiwekewa mikakati pesa zitaongezeka! Lakini vijana wapunguze vijiwe wakusanyike na kuweka makundi ya kimaendeleo kama kilimo, ufugaji na uvuvi hata serikali itaweza kusaidia makundi lakini sio moja moja
 
India, Nigeria na Brazili sio nchi za kujifunza kitu cha maana. Zina umaskini na mafukara tele, usalama duni na mambo ya hovyo mengi.
Hebu fuatilia history za nchi zilizokuws na watu wengi baadaye ndo maendeleo yakawafuata like China India Nigeria Brazil si unaona zinakuja juu kiuchumi.
Mkishakuwa wengi afu umasikini upo na njaaa ndo akili kumkichwa zinakuja watu wanaumiza akili mpaka wanatoboa.
Usiwe brainwashed na wazungu mkuu.
Ivi unajua kuwa eneo la Norway kwa Tz inaingia Mara 5 Ila sie idadi yetu tunaingia kwao Mara sita.
Mkishabanana hata eneo la urithi likakosa ndo kunakuwepo na akili za kuwaza nje ya Box.
Huku mbona maliasili zipo Sana mbuga kubwa kuliko zote duniani, cows ,migodi na ardhi mzuri kwa kilimo.
 
Kufikiria ardhi kubwa ndio itaondoa umaskini ni ufinyu wa fikra. Watu wapunguze kuzaliana kama wako kwenye marathon.
Mkuu bora hata huko Katavi kuna ardhi kubwa kwa hiyo population density ni ndogo..Na kilichosababisha hiyo birthrate kubwa kwa Katavi ni sababu ya wasukuma kuhamia.

Afadhari hata Mikoa ya Songwe ina uhakika wa mvua na ardhi sio sawa na huko Kanda ya Ziwa
 
Wingi wa watu hauna tija yoyote katika maendeleo ya taifa, zaidi sana ni mzigo tu kwa wananchi walipa kodi.
Umasikini unakuja pale tu kama watu ni tegemezi lakini wakifanya kazi mfano walimw vizuri watu wanaweza kukuza uchumi
 
Hujui kusoma Trend. Bangladesh na Pakistan nazo zina watu wengi pia ila ni mafukara. Brazil, india na Nigeria ni nchi zenye umaskini na mafukara tele na matatizo makubwa ya usalama , wala sio nchi za kutolewa mfano.

Kama nchi nyingi zenye watu wengi ndio zinakuwa kasi kimaendeleo sasa hivi basi zimechelewa sana. Denmark, Norway, Finland, Switzerland, UK zenye watu wachache zilishaendelea muda mrefu sana.

Watu waache kuzaliana kama wako kwenye marathon.
Ingawa hoja yako na nia ya kupunguza umaskini ni nzuri, lakini mahitimisho yako ndo yameifanya hoja yako iwe na walakini. Nitaainisha mambo machache:
1. Badala ya kutaka serikali iwaelimishe ili kupunguza kuzaliana, mimi ningeshauri serikali iwaelimishe na kuwajengea uwezo wa kiuchumi ili kuendana na ongezeko la watu. Hili ni hitaji muhimu kwa nchi nzima, siyo kwa mwanza na kanda ya ziwa pekee.
2. Trend ya kukua kwa uchumi sasa hivi duniani inaonyesha nchi zenye idadi kubwa ya watu ndio zina fanya vizuri zaidi, mf China, India, Brazil, nk.
Badala ya kupunguza idadi ya watu, tuongeze means za kuwawezesha watu kujijenga kiuchumi.
3. Wasukuma ni watu watafutaji wazuri sana, na ni wachapa kazi wazuri sana. Wengi tutakubaliana na hilo. Badala ya kutaka wapunguze nguvukazi yao, tunapaswa kuwahamasisha na kuwajengea uwezo ili watumie nguvu zao kwa maarifa na ufanisi zaidi ili kujilete maendeo.
4. Wasukuma siyo watu wa kukaa mahali pamoja. Pamoja na kuipenda sana nchi yao, sukumaland, lakini wana historia ya kuhama na kwenda maeneo mengine kujitafutia liziki. Kwa taarifa yako, maeneo ya Biharamulo, chato, na sehemu za mkoa wa kagera siyo originally sehemu za sukumaland, lakini sasa hivi zimejaa wasukuma wahamiaji walihamia kwenye maeneo yaliyokuwa mapori na kuanza kilimo, na hatimaye sasa hivi kuna miji. Nenda kwenye bonde la Usangu huko mbeya sasa hivi utawakuta wamejaa wanalima mpunga kwa wingi. Nenda Songea, hata huku kwetu Mtwara, jamaa wapo wanajitafutia riziki.
5. Tanzania bado ni nchi pana sana, na mtanzania yeyote ana uhuru wa kuishi na kufanya shughuli zake mahali popote ndani ya mipaka ya nchi yetu.
Hayo yanatosha.
 
Hebu fuatilia history za nchi zilizokuws na watu wengi baadaye ndo maendeleo yakawafuata like China India Nigeria Brazil si unaona zinakuja juu kiuchumi.
Mkishakuwa wengi afu umasikini upo na njaaa ndo akili kumkichwa zinakuja watu wanaumiza akili mpaka wanatoboa.
Usiwe brainwashed na wazungu mkuu.
Ivi unajua kuwa eneo la Norway kwa Tz inaingia Mara 5 Ila sie idadi yetu tunaingia kwao Mara sita.
Mkishabanana hata eneo la urithi likakosa ndo kunakuwepo na akili za kuwaza nje ya Box.
Huku mbona maliasili zipo Sana mbuga kubwa kuliko zote duniani, cows ,migodi na ardhi mzuri kwa kilimo.
Norway Ina watu wangapi??
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara.

Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.

Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo mikoa ni wastani wa 4% kwa mikoa yote 7 kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii za huko.

Case study ni Mkoa wa Mwanza ambao unakadiriwa kuwa na wakaazi takribani Mil.4 huku growth rate ikiwa 4.1% .Inamaana Sensa ya 2032 huenda Mkoa wa Mwanza utakuwa na Wakaazi karibu Mil.8 huku na ndio utakuwa Mkoa wenye Idadi kubwa zaidi ya Watu Nchini na kutupita Mkoa wa /Jiji la wa Dar es Salaam.Hali hiyo itakuwa hivyo kwa Kanda nzima ya ziwa

Cha kusikitisha sasa ni kwamba ukuaji wa kipato hauendani na ongezeko la watu na matokeo yake itakuwa ni umaskini wa kutisha.Kwa mfano Takwimu za 2020 zinaonesha GDP per Capita ya Mwanza ni 2.6Mil ,ambapo kwa Kanda hiyo nzima ni chini ya hicho kiasi ukilinganisha na Mikoa ya Dar (4.6),Iringa(4.0) na Mbeya(3.7).Tayari kuna umaskini mkubwa sasa huo mwaka 2030 Hali itakuaje?

Ndugu zetu wa Kanda ya Ziwa wanaotakiwa Kusaidiwa hasa kwenye Elimu Ili wapunguze uzazi na wadhibiti Umaskini badala ya kuwajengea madaraja nk . Rasilimali kubwa za Mikoa hiyo ni Migodi ambayo haihusishi watu wengi na ambayo haina uhakika wa sustainability.

Nitoe wito kwa Serikali ilitazame jambo hili kwa jicho la upekee na wasaidiwe kwa maslahi mapana ya Nchi.Takwimu hizo hapo za mwaka 2020 kwa mujibu wa NBS 👇👇

View attachment 1862939

View attachment 1862940

View attachment 1862941

View attachment 1862942
Mwendazake alihimiza sana wazaliane kwakuwa shule ni bure, akilenga mbali sana kwenye support ya dynasity yake kutawala kisiasa miaka na miaka.
Akampenda zaidi.
 
Nakubaliana na wewe!
Kwa utafiti mdogo nilioufanya baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa nimegundua

mabinti wanapata mimba wangali bado wadogo kiumri chini ya miaka 15 ndio hao ma single maza.
Vijana wanaoa chini ya miaka 18 badae ndoa zinawashinda wanaachana

Jamii nyingi bado inaona ufahari wa kuzaa watoto wengi hasa jamii ya kisukuma utakuata familia moja ina watoto 9 au zaidi

lakini pia Birth rate ni kubwa zaidi kuliko derth rate

Kuwepo wa Vyakula vingi mfano maindi, mchele, mihogo uzalishaji wake ni mkubwa sababu ya mvua zakutosha na ardhi bado ina rutuba,
Samaki-sato,sangara na dagaa kwa wingi wanachangia ufanyaji wa tendo la ngono

Ukosefu wa elimu ni tatizo
BAADHI ya wazazi wa kanda ya ziwa ni WABISHI narudia tena WABISHI kufanikisha zoezi la elimu pale kunapojitokeza changamoto kama vile. Upungufu wa walimu mashuleni, vyumba vya madarasa hata pale wanapojitoa bado wanahisi wanaibiwa.

Pia kanda ya ziwa nishemu nzuri sana ya kuishi tofauti na kanda zote hapa tanzania. Hii huchangia uhamiaji wa watu kotoka kanda zingine kujakufanya Biashara na utumishi.

Ongezeko la idadi ya watu linapunguza rasilimali na kuongeza umasikini kama jitihada binafsi hazitofanywa, kuanzia ngazi yaa familia hadi Taifa.

Demographic changes- technological invetion and innovation- Agricuture changes- industrial changes= national development
Mawazo ya ki bil gate....! Tunajua sasa....kwa nini songombingo zinaelekezwa kanda hiyo na mawakala!
 
Back
Top Bottom