Ardhi ipo na watu wapo ila sasa watu wenyewe ni maskini na mburura sasa hao watakusaidia nini? Ndio maana unaona tozo kidogo kilio kikubwa Hali ni mbaya
Ni maskin kwa mtazamo wako mkuu ila wale ni matajiri. Km ardhi ipo lazima watajirike tu!! au nikutajie kila kitu haya
Na uongozi bora basi.....
Weupe wanatupiga vita sana kwa hili. Unawasaidia!! wewe bila shaka Umekula cha juu!! sababu wao kamwe hawawezi kuzaa km sisi. Tena majira wao hawatumii. Ok!!
Mie nadhani hujawahi kumbana na hili swali mkuu!!
Km uongozi si bora watakuwaje matajiri? Mfano uongozi mbovu km wa jiwe!!
Uchumi wa Tz ulishuka toka asilimia 6.7 enzi za mkwere...mpaka jwe ana kufa ulikuwa chini kwa asilimia 4.5.kwa mujibu wa WB.
Uongozi bora na idadi ya watu vinaendana pia.
Ardhini utapata kila kitu na utaishi maisha bora mno. Lkn je unaongozwa vyema na wenye mamlaka?? Au ni wezi dhurumati tu km jiwe?
Kanunua midege cash sasa zaruka 2 tu!!
Kawatimua watoto wa maskini kazi eti ni wafanyakazi hewa bila bakshish. wkt waliitumikia sirikali walisoma vyuo vya sirikali.je hao watoto wao walio wazaa wataendelea vipi?? Chini ya sirikali za hivi??... Hapo hapo...
Watoto wa wakubwa pale BOT. TRA Bandari nk wakiachwa huru... Akikosolewa kwa vitendo vyake anakuteka maksudi tu huku anafurahi.... Ufilie kwa mbali bila huruma na watu wanaona hivi!!
Sasa yule muhindi alikosa nini akamteka??? Tena wazi wazi...Angesema vizuri tu "dogo nataka fedha moja mbili baaasi....
Huo wa jiwe ndo uongozi mbaya sana.. mpaka Mungu alikasirika!! Kwa mara ya kwanza Africa hii!! sasa hivi ananyea debe ahera!! Usidhani yuko salama kule anabeba mtondoo...
Haya malizia ya mwisho numb. nne!!