Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Magufuli alisema fyatueni watoto nitasomesha bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki za nini mkuu mimi natoa tahadhari kuwasaidia muepukane na umaskini wa kujitakiaHuyo mpumbavu achana nae ana chuki na kanda ya ziwa, unaona anasema kanda ya ziwa wanategemea migodi tu, unajua kabisa hana akili, hata ziwa tu ambalo limeipa kanda jina hajui liko wapi. Tutawashikisha ukuta tu.
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara.
Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.
Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo mikoa ni wastani wa 4% kwa mikoa yote 7 kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii za huko.
Case study ni Mkoa wa Mwanza ambao unakadiriwa kuwa na wakaazi takribani Mil.4 huku growth rate ikiwa 4.1% .Inamaana Sensa ya 2032 huenda Mkoa wa Mwanza utakuwa na Wakaazi karibu Mil.8 huku na ndio utakuwa Mkoa wenye Idadi kubwa zaidi ya Watu Nchini na kutupita Mkoa wa /Jiji la wa Dar es Salaam.Hali hiyo itakuwa hivyo kwa Kanda nzima ya ziwa
Cha kusikitisha sasa ni kwamba ukuaji wa kipato hauendani na ongezeko la watu na matokeo yake itakuwa ni umaskini wa kutisha.Kwa mfano Takwimu za 2020 zinaonesha GDP per Capita ya Mwanza ni 2.6Mil ,ambapo kwa Kanda hiyo nzima ni chini ya hicho kiasi ukilinganisha na Mikoa ya Dar (4.6),Iringa(4.0) na Mbeya(3.7).Tayari kuna umaskini mkubwa sasa huo mwaka 2030 Hali itakuaje?
Ndugu zetu wa Kanda ya Ziwa wanaotakiwa Kusaidiwa hasa kwenye Elimu Ili wapunguze uzazi na wadhibiti Umaskini badala ya kuwajengea madaraja nk . Rasilimali kubwa za Mikoa hiyo ni Migodi ambayo haihusishi watu wengi na ambayo haina uhakika wa sustainability.
Nitoe wito kwa Serikali ilitazame jambo hili kwa jicho la upekee na wasaidiwe kwa maslahi mapana ya Nchi.Takwimu hizo hapo za mwaka 2020 kwa mujibu wa NBS 👇👇
View attachment 1862939
View attachment 1862940
View attachment 1862941
View attachment 1862942
Kweli mkuu. CCM ni chama dume.Tatizo ni CCM tu.
Weeee!! kijana tema mate chini Kanda tajiri ile ina jirisha yenyewe wewe! siyo km Mtwara kwenu!! ina hifadhi ya Taifa kubwa Duniani kote!!! Inaziwa kubwa lenye kila samaki lafaa kwa uvuvi mno!! kwani Dar mnakula samaki watamu wa wapi??Chuki za nini mkuu mimi natoa tahadhari kuwasaidia muepukane na umaskini wa kujitakia
Halafu Kanda ya ziwa ina Mchango mkubwa nchini na Duniani!! kisiasa kiuchumi na kiutamaduni km hivi..Mkuu bora hata huko Katavi kuna ardhi kubwa kwa hiyo population density ni ndogo..Na kilichosababisha hiyo birthrate kubwa kwa Katavi ni sababu ya wasukuma kuhamia.
Afadhari hata Mikoa ya Songwe ina uhakika wa mvua na ardhi sio sawa na huko Kanda ya Ziwa
Yaani wewe unaamini kila takwimu hata za adui yako weye kijana hatari sanaTakwimu zinaongea sio mimi mkuu,kama unaamini kuzaana huko kuna tija endeleeni
thanks for this, very insightful, pia sisi wana Kanda ya Ziwa, tuwahamashishe ndugu zetu, wapunguze sana kupenda naniliu!, due to lishe Bora, wanawake wetu wako very fertile, uki naniliu tuu hata kama ni kwa ajili ya starehe, inatunga!. Tupunguze ile starehe.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara.
Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.
Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo mikoa ni wastani wa 4% kwa mikoa yote 7 kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii za huko.
Case study ni Mkoa wa Mwanza ambao unakadiriwa kuwa na wakaazi takribani Mil.4 huku growth rate ikiwa 4.1% .Inamaana Sensa ya 2032 huenda Mkoa wa Mwanza utakuwa na Wakaazi karibu Mil.8 huku na ndio utakuwa Mkoa wenye Idadi kubwa zaidi ya Watu Nchini na kutupita Mkoa wa /Jiji la wa Dar es Salaam.Hali hiyo itakuwa hivyo kwa Kanda nzima ya ziwa
Cha kusikitisha sasa ni kwamba ukuaji wa kipato hauendani na ongezeko la watu na matokeo yake itakuwa ni umaskini wa kutisha.Kwa mfano Takwimu za 2020 zinaonesha GDP per Capita ya Mwanza ni 2.6Mil ,ambapo kwa Kanda hiyo nzima ni chini ya hicho kiasi ukilinganisha na Mikoa ya Dar (4.6),Iringa(4.0) na Mbeya(3.7).Tayari kuna umaskini mkubwa sasa huo mwaka 2030 Hali itakuaje?
Ndugu zetu wa Kanda ya Ziwa wanaotakiwa Kusaidiwa hasa kwenye Elimu Ili wapunguze uzazi na wadhibiti Umaskini badala ya kuwajengea madaraja nk . Rasilimali kubwa za Mikoa hiyo ni Migodi ambayo haihusishi watu wengi na ambayo haina uhakika wa sustainability.
Nitoe wito kwa Serikali ilitazame jambo hili kwa jicho la upekee na wasaidiwe kwa maslahi mapana ya Nchi.Takwimu hizo hapo za mwaka 2020 kwa mujibu wa NBS 👇👇
View attachment 1862939
View attachment 1862940
View attachment 1862941
View attachment 1862942
Jamii forum ina watu mchanyiko, kwahiyo unataka kuishi maisha ya miaka ile?asante kiongoziHizi clinic kabla ya wazungu hazikuwepo
Hiyo sio sababu, kuzaana hovyo ni Mila na tamaduni haina uhusiano na kuwa na lishe wala sijui kuwa fertile.thanks for this, very insightful, pia sisi wana Kanda ta Ziwa, tuwahamashishe ndugu zetu, wapunguze sana kupenda naniliu!, due to lishe Bora, wanawake wetu wako very fertile, uki naniliu tuu hata kama ni kwa ajili ya starehe, inatunga!. Tupunguze ile starehe.
P
Mtu maskini anakuwa soko la nini Mzee? Hana purchasing power,ndio hao tozo kidogo kilio mwaka mzimaWingi una faida zake pia hasa ukiangalia kiuchumi inaweza kuwa soko kubwa la bidhaa, lakini pia ni nguvu na mtaji wa maamuzi. Mark my word
Usiniulize mimi mjiulize wenyewe maana growth rate yenu ni 2.6 ambayo itapungua kwa sababu za elimu zaidi,kipato zaidi na kuwa busy na kusaka pesa.Mpaka 2032 kwamba dar tumeishiwa nguvu za kiume?? Hatuzalishi?
Adui gani hapo? Kwa hiyo Idara ya Taifa ya Takwimu ni adui wa Kanda ya Ziwa au? Unataka tuamini Takwimu zako Au za nani?Yaani wewe unaamini kila takwimu hata za adui yako weye kijana hatari sana
Huko maeneo kunaongoza kwa umaskini mkuu sasa sijui hiyo ni sifa au vipiHalafu Kanda ya ziwa ina Mchango mkubwa nchini na Duniani!! kisiasa kiuchumi na kiutamaduni km hivi..
1.KAR wakanda hii waliingia kwa wingi na walikuwa wepesi na kwa weledi wa mafunzo ya kijeshi! kuliko kanda zote nchini!! lengo kuisaidia Uingereza ktk ww ii!! kwa hiyo wanaheshimika sana Duniani!! huko UNO ndo maana Nyerere alikubalika ki rahisi!! baada ya kujua anatoka kanda hii ya kishujaa.
2.Wana mchango mkubwa ktk ukombozi wa Bara la africa!! dhidi ya Ukoloni mfano Msumbiji, zimbabwe south africa ni kanda hii tu ndo ilijitolea kwa wingi kumpinga Mkoloni! ... umoja wa AU hautakubali kuidhoofisha kanda hii!! ni kumbukumbu nzuri sana kwao!!
3,Hakuna Kanda wala Mkoa waliokuwa na moyo wa kujitolea kumng'oa Idd Amin km Mikoa ya kanda ya ziwa na kweli alifukuzwa km mbwa jike alifia mbali huko!! sasa leo wakipunguza kuzaa mashujaa watapungua sana. mtaonewa sana hata na Rwanda!!
Watu kama hawa lazima wazaliane kwa wingi mno tena mara dufu ili mlindwe na kuheshimika!!
Wenzenu Kenya wanaililia hii kanda nyie mnaipiga mateke, mkifanya kosa hili watahamia Kenya wote wale wanatamani kizazi cha kanda ya ziwa hawalali wanaomba Msitari unyooke Tokea Tanga mpka ziwa Vict.... hawa kuingia kenya ni bure tu!! hkn haja ya viza
wee km unaona vipi kachuke Mbegu Mkuu!! Uone njaa itaisha hapo kwako jaribu uone nakwambia.......hawana noma!! kule kuna nyumba ntobhu!!....hata ukimpeleka mkeo tu anazaa!! watoto wanakuwa wako!!
unapata vitoto vishujaa kirahisiiii vitakupa heshima Dunia nzima .... wee jrbu peleka mang'ombe uone!!
Sina tatizo bali nawasaidia msiwe mzigo kwa Nchi yetuSijui una tatizo gan na Kanda ya ziwa
Sasa ndugu watu wenye mapato mil.2.6 kwa mwaka wanakuzaje uchumi?Umasikini unakuja pale tu kama watu ni tegemezi lakini wakifanya kazi mfano walimw vizuri watu wanaweza kukuza uchumi