Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Rabish..!! Pumba, ujinga na upumbavu..!! Huyo mnayempigia chapuo kaapa kuilinda katiba nyie mnataka kuivunja...!! Lakn hata hivyo icho kikubwa na cha ajabu kilichifanywa na juma maharage wala hakionekani au umetumwa ndg yangu kupima upepo..??
 
Wasukuma naona mnataka kutawala milele nahisi mnamatatizo ya mental retardation maana hii agenda mean a nayo muda Sana ivi wasukuma mnamatatixo gan
Pasco kwa vile na we n msukuma bas unataka muendelee kutawala sio...??
 
Eti Leo mnaona katiba haina maana mbona mlimkatalia kikwete kua anataka kujiongezea muda wa kutawala wasukuma heshimuni katiba ya nchi kwenye hil lazima tuseme ukwel
 
Kuna bandiko hili lina hoja kama hoja zangu humu.
 
Wasukuma naona mnataka kutawala milele nahisi mnamatatizo ya mental retardation maana hii agenda mean a nayo muda Sana ivi wasukuma mnamatatixo gan
Pasco kwa vile na we n msukuma bas unataka muendelee kutawala sio...??
Mkuu Ngungenge, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alitukataza ukabila unless kama lengo ni kutambika.

Ila pia kuwa na jina la Kisukuma mtu sio lazima awe ni Msukuma, au mtu kuongea lugha ya Kisukuma kwa ufasaha kisa umekulia Usukumani sio proof ya kuwa ni kabila hilo, wengine ni wahamiaji tuu hata walikotokea hakujulikani!.

Wangapi wanaojua kuwa hata yule Laingwanan maarufu sana anayejulikana kama ni Masai, ukweli sio Mmasai bali ni Mmeru? .

Tuachane na mambo ya ukabila tuangalie utendaji.

Paskali
 
Japo 2020 ni mbali ila maswali haya bado ni valid.

Paskali
 
Hivi Pasco ni kigezo gani kilichokufanya uone Magufuli anafaa sana kwa Taifa hili ndani ya siku 25 tu tangu aapishwe?Je, tukiondoa unafiki, hujutii kwa andiko lako hili ?
Mkuu Don XXX, nyota njema huonekana asubuhi!, na sio tuu dalili ya mvua ni mawingu bali ukubwa wa mvua unaonekana kwa ukubwa wa wingu na uzito wa wingu hata kabla hiyo mvua haijanyesha!. Ukiona wingu jeupe ni mvua ya manyunyu, ukiona wingu la kijivu ni mvua ya kawaida, ukiona wingu jeusi ni mvua kubwa ya upepo!.
Siku 25 ni tosha kabisa kusoma dalili.

Paskali
 
"....It is enough that the people know there was
an election. The people who cast the votes
decide nothing. The people who count the
votes decide everything...."

Joseph Stalin
 
Hapa nilitoa tuu wazo, naona limeanza kuungwa mkono! .
Wameandika Hayo Kupitia Ukurasa wao Wa Twitter..
Kwamba yafanyike Mabadiliko ya katiba ili Rais JPM aongoze kwa vipindi zaidi ya viwili..
Naunga mkono hoja Magufuli aendelee hadi SGR ienee Tanzania nzima.

Paskali
 
Kasi ya kuangamiza Tanzania na Watanzania.

 
Swali la kujiuliza ni kuna haja gani ya kuwa hata na chaguzi ilhali tunajua kabisa mwisho wa siku CCM ndo atatangazwa mshindi?

Aiseee!! Hili ndilo huwa inanifanyaga nisipige kura kila uchaguzi ukija hapa Tanzania. Binafsi sioni mantiki ya nchi kupoteza mamilioni ya pesa kila baada ya miaka mitano kuandaa uchaguzi wakati matokeo yapo mezani tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…