Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Hivi mnaoshabikia kuwa aendelee kutuongoza mbona mnaleta ufa+la kwenye hii nchi? Nikija msikia mtu anatamka hayo maneno nimpa ngumi ya karne! Hii hakika tutanyooshana kwa hoja za kipuuzi kama hizi hakika nitambamiza kerbu atakae tamka huu upumbav mbele zangu
 
Katiba iheshmiwe na kusiwe na mtu, watu au kundi la kutaka kubadili katiba ya nchi kwa visingizio vyovyote. Watanzania wapo wengi wenye uwezo wa kuongoza.
Ingawa muda ndio jibu, tuangalie mpaka 2020 atakuwa amekonga nyoyo za watanzania kiasi gani. Mpaka naona tuna safari ndefu kufikia matumaini tuliyotarajia. Nadhani vipimo vipo wazi kwa kila sekta kuptia wizara zake. Kuimarisha demokrasia, nitafurahi kuona wanajitokeza watu ndani ya chama kupambana naye kama katiba ya chama inavyosema na mshindi wa chama akapatkana kuwakilisha vem.
 
Mkuu Charles Mususa, naomba nikupe ushauri wa bure, ukikutana na bandiko la kipuuzi kama hili, save your up time kwa kulipuuzia. Kama huangaiki na mabandiko ya kipuuzi kama bandiko hili, kwa nini uhangaike kujibu?, kuchangia?.
P.

It's very unfortunately you have missed the point ya bandiko hili. Hii ni kutokana na baadhi yetu humu ni vilaza. Mtu unaparamia kujibu bandiko lilike
Mkuu bado unakomaa?
 
hatuhangaiki na upuuzi ukikosa cha kuandika nenda baa ukatulize mawazo
Mkuu Charles Mususa, naomba nikupe ushauri wa bure, ukikutana na bandiko la kipuuzi kama hili, save your up time kwa kulipuuzia. Kama huangaiki na mabandiko ya kipuuzi kama bandiko hili, kwa nini uhangaike kujibu?, kuchangia?.

It's very unfortunately you have missed the point ya bandiko hili. Hii ni kutokana na baadhi yetu humu ni vilaza. Mtu unaparamia kujibu bandiko lililokuzidi kiwango cha uelewa wako, lazima utatoka kapa, na bado unachangia usichoelewa!. Katika mazingira kama haya, mtu akikuita kilaza, utalalamika kuwa umetukanwa?.

Pole na sorry for you.

P.
 
Huku kwetu mpaka sasa hakuna kikichofanyika je hyo kasi IPO huko kwenu labda njoo nyanda za juu kusini hats yy hajawai kuna tuuu na kila kitu bola ya Jana tunaona hats Leo uchaguzi ungefanyika kodi zangu bado zinaijenga dar kwetu hakuna kinachoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom