Sema UZAREENDOMkuu Zanika, Huu ndio uzalendo.
P.
Sema njaa ndiyo inawaumizajamani vyeo hivi
Tatizo hawa watawala huwa wanatengeneza tabaka kuna baadhi ya familia zinakuwa ''Loyal families'' mwanzo mwisho wengine tutabaki kuinamisha vichwaUNAONAJE TUKABADILI KATIBA TUKAWA NA CHAMA KIMOJA TU PASCAL?
ni kweli njaa mbaya sanaSema njaa ndiyo inawaumiza
HahahaSwali la kujiuliza ni kuna haja gani ya kuwa hata na chaguzi ilhali tunajua kabisa mwisho wa siku CCM ndo atatangazwa mshindi?
yesSwali la kujiuliza ni kuna haja gani ya kuwa hata na chaguzi ilhali tunajua kabisa mwisho wa siku CCM ndo atatangazwa mshindi?
Mkuu bado unakomaa?Mkuu Charles Mususa, naomba nikupe ushauri wa bure, ukikutana na bandiko la kipuuzi kama hili, save your up time kwa kulipuuzia. Kama huangaiki na mabandiko ya kipuuzi kama bandiko hili, kwa nini uhangaike kujibu?, kuchangia?.
P.
It's very unfortunately you have missed the point ya bandiko hili. Hii ni kutokana na baadhi yetu humu ni vilaza. Mtu unaparamia kujibu bandiko lilike
Mkuu Charles Mususa, naomba nikupe ushauri wa bure, ukikutana na bandiko la kipuuzi kama hili, save your up time kwa kulipuuzia. Kama huangaiki na mabandiko ya kipuuzi kama bandiko hili, kwa nini uhangaike kujibu?, kuchangia?.hatuhangaiki na upuuzi ukikosa cha kuandika nenda baa ukatulize mawazo