Ndugu Bulesi hilo wazo lako naomba nilipinge, kwa sasa nchi yetu nadhani haijawa na wasomi wa kutosha wenye shahada kiasi cha kuruhusu hiyo kitu itokee, nafikiri kwa hapa tuliposimama tuwape nafasi pia watu waliofika japo form four ili tuwe na wigompana wa kuchagua. Ungesema kuwa mawaziri wote teuliwa ni lazima wawe at least na Bachelor hapo nitakuwa wa kwanza kukuunga mkono...
Kwa taarifa yako we mburura, Sugu ni f6 aliyefaulu na ana diploma ok. Muulize Amimu Agustino aliyenunua vyeti vya marehemu Philip Mulugo aliyezikwa makaburi ya Mwambene hapa Mbeya mjini
Inauma sana kuona mbunge wangu mpenda maendeleo anayejali wananchi wake mpaka anahamisha mifugo kinyemela toka kwenye mazizi ya wenzake nakuwapeleka kenya ndugu Lameck Airo a.k.a Lakairo hatorudi bungeni kwani yeye ni darasa la4. Ila nilimshauri asome akakataa.
mh.jah people kwa rasmu hii hana sifa maana ni darasa la pili
Hapo mwanzo ni nyie mlipomshangaa yule Dr. Kule Kagera kwa kuachana na CCM na kujiunga CDm mkisema anaganga njaa kujiingiza kwenye Siasa badala ya kutoa huduma ya Tiba kwa jamii kwani serikali imemsomesha kwa gharama Kubwa leo hii tena mnasema ili awe Mbunge awe na Shahada je hao pia kuingia kwenye siasa si watakuwa wanaganga njaa?
Rorya walimkataa ProfesaVipo vitu vichache ambavo sijavipenda katika rasimu ya pili ya katiba mpya lakini kwa zaidi ya 75% iko vizuri, moja kati ya vitu nilivyovipenda ni kwamba kama ikipita basi angalau tunaweza kupata watunga sheria wanaojua angalau ni nini wanachokifanya kwa kuangalia kigezo cha elimu pale inaposema mbunge awe at least amefika form 4 au zaidi ya hapo. hili likifanikiwa basi mbunge wangu a.k.a Prof. Maji Marefu atakosa sifa za kugombea na huenda tukapata mtu anayejielewa ni nini anafanya huko mjengoni!
Natamani sana sijui hili litokee, sijui wewe Mtanzania mwenzangu...