Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm

2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam.

3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika anakiuka kanuni na miongozo ya Bunge waliyojiwekea!

We can interfere if speaker’s decision violates Parliament rules, says SC

Feb 13, 2017 07:59 PM IST

The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament..​

“If the speaker says blue is green, then we will ask the speaker to say it’s blue. We can’t let it go as green,” a bench headed by Chief Justice JS Khehar told attorney general Mukul Rohatgi, who had told the court that a speaker’s decision cannot be challenged in court.
 
Nchi hii inahitaji kuanza upya. Nchi inatakiwa kuchimba msingi na kuanza kujengwa upya. Hii inatakiwa kufanyika mwaka huu na ujao badala ya kufanya uchaguzi.....Tuanze na Katiba mpya!.
 
1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm

2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam.

3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika anakiuka kanuni na miongozo ya Bunge waliyojiwekea!
Kweli
 
Hii katiba waliotuachia Mungu anawaona 😔
 
Ukweli kwa sasa hakuna utawala wa Sheria. Kinachoendelea ni mwenye nguvu ya pesa na madaraka mpishe. Huyo Jaji na Hakimu nao wana hofu ya kulinda mkate wao. Kama Spika wa Bunge anaondolewa sembuse wengine ni SISIMIZI tu.
 
1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm

2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam.

3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika anakiuka kanuni na miongozo ya Bunge waliyojiwekea!
Naunga mkono hoja, kwenye tafsiri ya sheria mahakama yetu ni hopeless toothless barking dog!, jibwa koko kazi yake ni kufyata mkia na kuwa ni bunge ruber stamp ya madudu ya serikali huku iligwaya Bunge。

Nilipoitwa kuhojiwa na bunge,nikakuta kumbe Bunge ni quasi judicial body, inaweza kuhukumu kifungo hadi cha miaka 3!na hukumu hiyo ni
final and conclusive with no right to appeal!.

Kiukweli kabisa kuna ukilaza mkubwa wa katiba, sheria, taratibu
na kanuni unaofanywa na serikali yetu,bunge na mahakama。 lengo la bunge kuwa quasi judical body ni kuwashughulikia wabunge na watumishi wa bunge, mtu mwingine yeyote asiye mbunge akilikosea bunge anapaswa kushitakiwa mahakamani sio bunge kujigeuza mshitaki, kujigeuza mahakama na kuhukumu kisha kujigeuza bwana jela na kufungia watu !

Tanzania hatuna kabisa checks and balances, serikali ikikosea inashitakika lakini Bunge na mahakama ni kama miungu watu! wakitukosea hawashitakiki!Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

P
 
katiba nzuri sana na muafaka sana ya Tanzania itaendelea kutumika katika kuongoza mihimili ya dollar bila kujali nani ana maoni gani.

haki ya kila mTanzania mahakamani itapatikana bila mbambamba yoyote kwa mujibu wa sheria na katiba hiyo.

hata ikitokea katiba kubadilishwa,
bado kila mwanainchi ikiwa ni pamoja na majaji kupiga na kupokea simu kwa uhuru kama ilivyo sasa, maana ni uhuru na haki ya kikatiba ya kila mTanzania 🐒
 
Sipendi kusema hivi lakini ndio njia pekee mapinduzi yanahitajika ili tuanze upya. Hii kwasasa haina hadhi ya kuitwa nchi
Unapoona mali za tanganyika, urithi wa tanganyika na watu wanashangilia kama majuha, ujue tuna kasoro kubwa sana kila kitengo cha nchi hii.
mtu anauza vya kwenu, vya Zanzibar haguzi,,,,,,,,majuha tunashangilia
 
Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
Naunga mkono hoja, kwenye tafsiri ya sheria mahakama yetu ni hopeless toothless barking dog!, jibwa koko kazi yake ni kufyata mkia na kuwa ni bunge ruber stamp ya madudu ya serikali huku iligwaya Bunge。

Nilipoitwa kuhojiwa na bunge,nikakuta kumbe Bunge ni quasi judicial body, inaweza kuhukumu kifungo hadi cha miaka 3!na hukumu hiyo ni
final and conclusive with no right to appeal!.

Kiukweli kabisa kuna ukilaza mkubwa wa katiba, sheria, taratibu
na kanuni unaofanywa na serikali yetu,bunge na mahakama。 lengo la bunge kuwa quasi judical body ni kuwashughulikia wabunge na watumishi wa bunge, mtu mwingine yeyote asiye mbunge akilikosea bunge anapaswa kushitakiwa mahakamani sio bunge kujigeuza mshitaki, kujigeuza mahakama na kuhukumu kisha kujigeuza bwana jela na kufungia watu !

Tanzania hatuna kabisa checks and balances, serikali ikikosea inashitakika lakini Bunge na mahakama ni kama miungu watu! wakitukosea hawashitakiki!Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

P
Hata hiyo serekali inashtakika kinadharia zaidi. Kiuhalisia kwenda kuishtaki serekali ni kama kupoteza wakati. Mfano halisi tazama kesi ya kupinga Tamisemi kusimamia uchaguzi wa serekali za mitaa na nini kinaendelea huko mahakamani.
 
Mahakama ipo na Sheria zipo ila haki haipo kutokana na kuingiliwa.
 
Back
Top Bottom