Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.

Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.

Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi zima la uchaguzi.

Chadema wangelia lia sana

Ukinizingua Nakuzingua!
 
Bora ingekuwa hivo, hii ya kuokota dodo kwenye mchongoma ni shida sana. Mtu anakuja anapindua kila kitu Bila kujua hayo yaliyofanyika ni kwa matakwa na maslahi ya wananchi. Mtu anataka kujaza wachina, wahindi na waarabu kwenye ajira zetu za kawaida na hataki walipe kodi
 
Na bado ...

Mkuu unaweza kumfuata jiwe alipo ...
 
hivi kuna sababu gani kupotosha alichoongea bi mkubwa au ndiyo nyie mliotumwa na wafia MWENDAZAKE....MAGUFULI ameshafariki harudi tena na kilichotokea ni natural death kwann tusikubali tu na kumuunga mkono bi mkbwa,huyo Magu amekosea mangapi jamani,mbona mengi tu??
 
Na bado.... shughuli ndio kwanza imeanza...
 
Naomba kuuliza ni katiba ya nchi gani? Thibitisha kwa kutaja ibara hiyo cheif
 
Mawazo yako kama ya Chalamila amabaye alikuwa hajui kama Rais anaweza kufa akiwa madarakani!
 
Wewe mataga kuwa na imani na mwana ccm mwenzako! Sasa wewe ukikosa imani, itakuwaje kwetu sisi ambao hatujawahi kamwe kuielewa ccm na viongozi wake?
 
Kwa ndugai alivyo huo urais angeugombea yeye yeye
 
Mawazo yako kama ya Chalamila amabaye alikuwa hajui kama Rais anaweza kufa akiwa madarakani!
Yaani ndio uone jinsi tulivyo na watu wa hovyo, kwani suala la binadamu kufa linahitaji kuwa na PhD kujua kuwa ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…