imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ndio jambo sahihi,halafu Maspika wa Wenzetu ni Watu wenye kujielewa sio huyu NdugaiKatika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio jambo sahihi,halafu Maspika wa Wenzetu ni Watu wenye kujielewa sio huyu NdugaiKatika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Bora ingekua hivo, hii ya kuokota dodo kwenye mchongoma ni shida sana. Mtu anakuja anapindua kila kitu Bila kujua hayo yaliyofanyika ni kwa matakwa na maslahi ya wananchi. Mtu anataka kujaza wachina, wahindi na waarabu kwenye ajira zetu za kawaida na hataki walipe kodi
Wewe ulikuwa unajua?Mawazo yako kama ya Chalamila amabaye alikuwa hajui kama Rais anaweza kufa akiwa madarakani!
Mataga bado mnataka kupambana na mama, si mpo chama kimoja mwacheni mama aongoze kwa amani
Unateseka ukiwa wapi mkuuBora ingekua hivo, hii ya kuokota dodo kwenye mchongoma ni shida sana. Mtu anakuja anapindua kila kitu Bila kujua hayo yaliyofanyika ni kwa matakwa na maslahi ya wananchi. Mtu anataka kujaza wachina, wahindi na waarabu kwenye ajira zetu za kawaida na hataki walipe kodi
Jamaa toka aende matibabu India ,akili yake imekaa tenge 🤣Ndugai angesabisha vita kubwa sn hata na mataifa mengine achilia mbali ndani ya nchi.
Msu **** vipi mbona povu jingi sana. Hebu kunywa maji kidogo upunguze presha.Bora ingekua hivo, hii ya kuokota dodo kwenye mchongoma ni shida sana. Mtu anakuja anapindua kila kitu Bila kujua hayo yaliyofanyika ni kwa matakwa na maslahi ya wananchi. Mtu anataka kujaza wachina, wahindi na waarabu kwenye ajira zetu za kawaida na hataki walipe kodi
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi zima la uchaguzi.
Chadema wangelia lia sana
Ukinizingua Nakuzingua!
Sageni chupa mnywe, Samia ndo Rais hadi mwaka 2045, wasukuma mtapata tabu sana ,Bora ingekua hivo, hii ya kuokota dodo kwenye mchongoma ni shida sana. Mtu anakuja anapindua kila kitu Bila kujua hayo yaliyofanyika ni kwa matakwa na maslahi ya wananchi. Mtu anataka kujaza wachina, wahindi na waarabu kwenye ajira zetu za kawaida na hataki walipe kodi
Ndugai.........????Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi zima la uchaguzi.
Chadema wangelia lia sana
Ukinizingua Nakuzingua!
Hahaha. Watani tunacheza wenyewe safari hii, nyie nunue pop corn tu, Tanzania ni nchi ya chama kimoja, kumsaidia mama ni kumkosoa sio kumshangilia. Halafu eti anataka kurudisha misamaha ya kodi!! Basi na wafanyakazi wasamehewe kodi kama ndio hivoWewe mataga kuwa na imani na mwana ccm mwenzako! Sasa wewe ukikosa imani, itakuwaje kwetu sisi ambao hatujawahi kamwe kuielewa ccm na viongozi wake?
Tungeongeza ubani naye angetwaliwa hata wiki asingemalizaKatiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi zima la uchaguzi.
Chadema wangelia lia sana
Ukinizingua Nakuzingua!
Yuko juu mawinguni by Pierre Liquid!Ndugai.........????
Bwashee punguza uchawi!Tungeongeza ubani naye angetwaliwa hata wiki asingemaliza
kama uliishi vizuri wewe kwa mfumo uliokuwepo kaa pembeni kidogo yaani mambo hayaendi biashara tumefunga halafu unataka tusibadilike... Agayaaa.Bora ingekua hivo, hii ya kuokota dodo kwenye mchongoma ni shida sana. Mtu anakuja anapindua kila kitu Bila kujua hayo yaliyofanyika ni kwa matakwa na maslahi ya wananchi. Mtu anataka kujaza wachina, wahindi na waarabu kwenye ajira zetu za kawaida na hataki walipe kodi