Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wakati napiga round mbili tatu huko mtandaoni nimekutana na clip ya video vixen aliyefanya video ya Nitafanyaje ya Diamond.
Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi hataki kufanya video na wasanii wa chini amejikita kufanya kazi na kina davido na wapopo.
Ukienda kwenye IG yake ana followers 7k na hakuna mtu yeyote aliyekuwa anamjua.
Kwa kauli hii maana yake hata Ibraah au Jaivah akimfata kwa ajili ya kufanya video hatokubali kwa sababu sio wasanii wa hadhi yake.
Ni suala la muda tu ataanza kutoa milion huyu.